Mbunge Lijualikali bado ni muhalifu

Mbunge Lijualikali bado ni muhalifu

Wewe hujapendezewa lijuakali kutoka na ndio tatizo lako lakin hujui sheri hata kidogo ila amin kuwa kosa dogo la kisheria laweza kuachia huru hata mtihumiwa wa mauaji ,sheria haifanyi kazi kwa hisia kama unavyo dhani
nimesema kwa wapenda haki sio wapenda sheria lijualikali ndio bado ni muhalifu. sheria ndio inamtoa jela sio haki. kuna watu hapa jf wamenitukana hadi matusi eti sijui sheria. ni kweli mimi sio mwanasheria japo nina elimu ya juu pengine kuwashinda. nilichosema kwa wapenda haki lijualikali is still a criminal because he was not found innocent for the crime he was found guilty by a lower court. najua wanasheria watasema 'huyu jamaa ni mshenzi' imagine lijuakali angeshtakiwa mbele ya baraza la wazee wa kijadi (kabila lolote la) ushahidi ndio ingekua muhimu wala sio ujazaji wa fomu yoyote. mahakama kwa kisingizio cha procedures inawaachia crooks kama lijualikali.
 
Una haki ya kwenda kumfungulia kesi ,nakushauri fanya hivyo ili sheria ifuate mkondo wake. Huku ukiandika sisi hatuna msaada wowote kwako kwa sababu naamini hata huyo jaji hayupo hapa kuweza kusoma hizo habari zako.
Labda awashauri wakate rufaa lakini siyo kufungua kesi upya
 
nimesema kwa wapenda haki sio wapenda sheria lijualikali ndio bado ni muhalifu. sheria ndio inamtoa jela sio haki. kuna watu hapa jf wamenitukana hadi matusi eti sijui sheria. ni kweli mimi sio mwanasheria japo nina elimu ya juu pengine kuwashinda. nilichosema kwa wapenda haki lijualikali is still a criminal because he was not found innocent for the crime he was found guilty by a lower court. najua wanasheria watasema 'huyu jamaa ni mshenzi' imagine lijuakali angeshtakiwa mbele ya baraza la wazee wa kijadi (kabila lolote la) ushahidi ndio ingekua muhimu wala sio ujazaji wa fomu yoyote. mahakama kwa kisingizio cha procedures inawaachia crooks kama lijualikali.
Kinachodhihirisha Upumbavu wako ni jinsi UNAVYOBISHANA, unavyokataa uhalali wa chombo kinachotoa HAKI kwetu sote watanzania , chombo kilicho halali kabisa KIKATIBA . . , MAHAKAMA . . !

Unamwitaje Mbunge Lijualikali MHALIFU . . , wakati Mahakama ya nchi imemwona hana hatia . . ?!
Mahakama ya chini ilikosea, na mahakama ya juu zaidi ikarekebisha makosa hayo . . , ndio mfumo wetu wa kutoa HAKI unavyotaka, ukiona umeonewa, kata RUFAA . .

Yaani wewe, una taratibu zako za kufikirika, za ndoto ndoto , haziko popote . . , ni unazungumza hewa . . , PUMBA . . , sasa kwa nini wenye akili wasikutukane . . ?
 
Wapo wengi kama wewe.Haishangzi,ni bashite wa sheria.
 
Wapo wengi kama wewe.Haishangzi,ni bashite wa sheria.
 
Back
Top Bottom