Mbunge Lijualikali bado ni muhalifu

Mbunge Lijualikali bado ni muhalifu

Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yake haikumuona hana kosa alilokua amekatiwa hukumu ya kifungo na mahakama ya chini.
Sasa kama unamwona mhalifu si ukashitaki, unamlalamikia nani sasa?
 
Chanzo cha yote hayo ni mkakati uliopangwa na CCM kumzuia LijuaLikali kuingia ktk kikao ambacho yeye alikuwa mjumbe halali kwa kuwatumia polisi....

Kwa lugha nyingine waliopaswa kufungwa jela kwa uhalifu ni hawa waliotanda ktk mlango wa kuingilia ktk ukumbi wa mkutano kumzuia mjumbe halali wa kikao kile kisheria.....

Wahalifu hawa si wengine bali ni aliyekuwa mwenyekiti wa kikao kile na aliyetoa amri kwa polisi kumzuia LijuaLikali pamoja na polisi wenyewe wa Kilombero........ hao ndiyo wahalifu !!

Kwa lugha nyingine pia, ni kuwa, hata huyo mwenyekiti wa Halmashauri hiyo aliyechaguliwa ktk kikao kile cha uchaguzi si halali kwa kuzingatia maelezo ya maamuzi haya ya mahakama kuu !!

Mwisho kabisa, mhalifu mwingine hapa anayestahili kwenda jela, ni wewe mleta mada !!
 
Alishutumiwa kwa kosa la kufanyq fujo. Ulishauliza alifanya fujo gani, kama hujui tukusaidie: kuingia kwa nguvu kwenye kikao cha uchaguzi wa Mayor kama mjumbe. Wale jamaa zenu walikatalia kwamba si mjumbe, na Mahakama imethibitisha kwamba ni mjumbe halali. Your point is therefore moot.
 
Hapo tuwe makini....maana nimesikia toka kwa mwanasheria mmoja kuwa inawezekana kushitakiwa tena! Sijaelewa itakuwaje
Hata ukishitaki mbiguni huwezi shida, labda kama mahakama ni yako mwenyewe.
 
Mimi nawashauri mkazanie mambo ya maana ya Tanzania ya viwanda. Huu upuuzi unawapotezea muda wa kufanya mambo ya maana..
 
Hivi unalialia magego yote nje kisa jamaa kawa huru? Aisee bora uendelee kupika vitumbua tu.
 
Boss kmbwembwe kama haujui Sheria bora ukae kimya tu, au ungeuliza swali. Watu kama wewe unafanya Jukwaa ili na Watanzania kudharaurika. Upeo wako wa Sheria ni mdogo sana. Au kwa makusudi tu umeamua kupotosha. Anyways leo ni Siku ya Wajinga. Happy Fools Day Boss.

Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yake haikumuona hana kosa alilokua amekatiwa hukumu ya kifungo na mahakama ya chini.
 
Kuna mijitu mipuuzi sana. Kama huyu muanzisha thread.
 
Kwa hili mimi ninaona tatizo siyo mahakama,mahakama inajaribu kutufunua macho tuwe makini,na hasa zaidi sisi wasiojua sheria lakini tunawatumia mawakili kutusimamia,.Baadhi ya mawakili wanakazi nyingi kwa wakati mmoja na hivyo hawatendei haki wateja wao,kwa maana hawawi makini katika kusimamia mwenendo wa kesi za wateja.Ukiangalia trend ya kesi nyingi zinazoshinda mahakama ya rufaa karibu zote ni kutofuata utaratibu,hivyo kwa wakili makini anashinda kesi kirahisi.Kwa upande mwingine makosa kama haya yanawagharimu baadhi ya watuhumiwa kwa kutojua wafuate utaratibu upi na mwisho wa siku wanapoteza haki zao.Wito wangu ni kwa TLS kutumia raslimali zake kutoa elimu ya sheria kwa wananchi na pia kuwahimiza wanachama wake kuwa makini katika kusimamia kazi za wateja wao,ili kila mtu apate haki yake anayostahili.tusifurahie mtu kufungwa bali tufurahie mtu mtu kujua kosa lake na kutubia.
 
Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yake haikumuona hana kosa alilokua amekatiwa hukumu ya kifungo na mahakama ya chini.
si haki pia kuongozwa na mtu mwenye vyeti fake pia
 
Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki.

Lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu.

Wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.

Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yake haikumuona hana kosa alilokua amekatiwa hukumu ya kifungo na mahakama ya chini.
Utakuwa unatumika wewe
 
Boss kmbwembwe kama haujui Sheria bora ukae kimya tu, au ungeuliza swali. Watu kama wewe unafanya Jukwaa ili na Watanzania kudharaurika. Upeo wako wa Sheria ni mdogo sana. Au kwa makusudi tu umeamua kupotosha. Anyways leo ni Siku ya Wajinga. Happy Fools Day Boss.
mkuu just be fair if you find it hard to make a comment. ujue sheria sio physics inahusu utoaji wa haki. watu wengi wanajua sheria kuliko science. ni busara kuacha kumwambia mtu hajui chochote kuhusu sheria.
 
Back
Top Bottom