Mbunge Lijualikali bado ni muhalifu

Mbunge Lijualikali bado ni muhalifu

Mkuu maswala ya mawakili wasomi sio ya kuyavalia njunga kujifanya unajua, kama ulikua haufahamu ni kwamba Jaji mahakamani nafasi yake ni ya "umpire" yani hafungamani na mtu yeyote yule wala kuegemea upande wowote ule kama vile referee alivyo uwanjani kwaio upande mmoja unasema hivi mwingine unasema vingine Jaji anaamua kutokana na hoja za mtu anaewasilisha kwa ushawishi mkubwa..kwa kipengele kama hicho ni grounds za technicality...kua mpole..
 
Kipaumbele cha hii serikali ya maCCM si viwanda bali ni kutesa wananchi (hasa wapinzani) kwa kuwafunga jela na kuwanyima miradi ya maendeleo.
 
Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yake haikumuona hana kosa alilokua amekatiwa hukumu ya kifungo na mahakama ya chini.
Hayo wambie wajinga wenzio wasiojua kwamba sheria ni msumeno, inakata pande zote! One mistake one goal, kisheria Lijualikali has never been convicted, cv yake iko clear, period, nyambafu zenyu wajinga wote wa leo april fools and dogs day!
 
Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yake haikumuona hana kosa alilokua amekatiwa hukumu ya kifungo na mahakama ya chini.
Mahakama ya RUFAA ipo,mshaur mllamikaji 'JAMHURI' akate rufaa.
Shida iko wapi hapo.
Unapomshaur jaji inapasa pia tujue elimu yako wewe kwenye UGA wa sheria
 
Wewe hujapendezewa lijuakali kutoka na ndio tatizo lako lakin hujui sheri hata kidogo ila amin kuwa kosa dogo la kisheria laweza kuachia huru hata mtihumiwa wa mauaji ,sheria haifanyi kazi kwa hisia kama unavyo dhani
ujue sheria hawasomi wanasheria tu. wasomi wengi wanasoma sheria za maeneo ya utaalam wao ie biashara usafiri na msingi wa sheria yoyote ni kumpatia haki mwenye haki..usipende kufikiri watu hawajui sheria hata kidogo. ni kuwadharau watu kwa ujinga wako.
 
Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yake haikumuona hana kosa alilokua amekatiwa hukumu ya kifungo na mahakama ya chini.
Jaji anaweza kuwa pia mshabiki wa Chadema !
 
Ni pale tundu lisu anahojiwa na DW anapojibu mahakama

haijamkuta na kosa ,halafu asema wakili wa serikali kama atafungua mashita .

Kwa nini asiseme wakili wa ccm inamaana alienda kumtea wanini kama serikali ilimtia
hatiani abadilishe usemi huu aseme wakili wa ccm sio serkali.
Umeandikaje eti?
 
Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yake haikumuona hana kosa alilokua amekatiwa hukumu ya kifungo na mahakama ya chini.
Aliyeingia na zana za kivita clouds ni padre eeeee?,chuki zako peleka porini
 
kmbwembwe, . mahakama ni chombo cha mwisho katika utoaji wa haki na kwa mjibu wa mgawanyo wa madaraka katika mihimili ya serikali, katiba imesema hivyo (Article 107A of constitution of the United Republic of Tanzania) na itaendelea kubaki hivyo. Je ungependa mahakama ifanye kazi kwa mjibu wa hisia zako? Taifa hili linaangamia kwa sababu yenu...
 
kmbwembwe acha roho mbaya unadhani gerezani ni pazuri hivi uyo mbunge anakosa kubwa kiasi gani kushinda wale wa ufisadi ambao wameigharimu nchi
Haya nenda kafungue tena shtaka
 
Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yake haikumuona hana kosa alilokua amekatiwa hukumu ya kifungo na mahakama ya chini.

Kama kulikuwa na procedural impropriety, ulitegemea jaji aseme ni sahihi? Mahakama ina utaratibu wake wa kufuata. Ukikiukwa huwa unaathiri utoaji haki.
 
Kweli wajinga ndo sherehe yao. Hongera mtoa mada
 
Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yake haikumuona hana kosa alilokua amekatiwa hukumu ya kifungo na mahakama ya chini.
Akili za tarehe moja naona mwezi mchanga leo
 
Waliangalia kwanza utaratibu uliotumika kumfungulia mashtaka na kama hiyo ingekuwa sahihi wangejadili makosa. nakumbuka nilishawahi kuhudhuria kesi mmoja, ofisa wa serikali alishtakiwa kuibia serikali. Alitakiwa kununua mabox mawili ya form yeye kanunua moja. Wakati wa mahujiano, wakili wa mshtakiwa alimuuliza ofisa wa Takukuru "kwahiyo unasema mshitakiwa ameibia serikali kwa vielelezo kuonyesha amenunua box mbili wakati amenunua moja tu?" Akasema ndiyo, Swali liliofuata, wakili alimuuliza je kulikuwa na box zingine kwenye hicho chumba? Ofisa wa Takukuru kasema ndiyo. Swali lilofuata, Wakili alimuuliza kama alikagua yale mabox mengine, jipu likawa hapana. Wakili kamwambia Mh. Hakimu kwamba hana maswali zaidi. Hii kwamba hakuangalia yale mabox mengine ndiyo ilikuwa exit point ya mshtakiwa na Ofisa wa Takukuru kashauriwa akaseme auditing ili ajue jinsi ya kufanya ukaguzi wakati mwingine.
 
Huwezi kutenda haki kwa kutumia hati batili ya mashitaka!
Ukiruhusu hilo wengi sana wataonewa!
 
mimi sio mwanasheria lakini kwa mujibu wa rufaa iliokatwa na watetezi wa Lijualikali ni kwamba, hati ya mashtaka haikuwa sawa na kesi ya msingi iliokuwa ikiendelea sasa kama mtu unamshtaki kwa kosa X lakini maelezao unayotoa ni maelezo ya kisa Y sasa wewe na akili yako unaona kuwa jaji hakutenda haki kwa lipi? Jifunze kuheshmu chombo kitukufu cha mahakama. Rejeakesi ya Lema majaji waliotoa hukumu ya rufaa waliwataka majaji na mahakimu kote nchini kuwa na wivu wa kutoa haki kwa wanaostahili haki. Naona wewe una kinyongo na wivu za mahakama kutoa haki.
 
Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yake haikumuona hana kosa alilokua amekatiwa hukumu ya kifungo na mahakama ya chini.
Hivi kweli wewe unawafahamu wahalifu wanaostahili kufungwa gerezani?
 
Aibu ikufikie hapo ulipo.
Nakutakia happy birthday njema.
Roho mbaya ndo inakusibu ,na hiyo si bure bali una pepo mchafu, nini kimekuudhi Mtanzania mwenzako kuachiwa huru?
Mara ngapi Magufuli anapindua sheria hutamki neno?
 
Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yake haikumuona hana kosa alilokua amekatiwa hukumu ya kifungo na mahakama ya chini.
Nadhani hilo unaloita kosa la kiufundi lisilokua na uzito, kama lisingekua na uzito basi mahakama ingetupilia mbali rufaa. Sasa huwezi sema MTU aloachwa huru na mahakama ni mhalifu, umetumia sheria gani? Makosa ktk hati ya mashtaka pekee yanaweza kumfanya mtu asiye na hatia kukutwa na hatia. Hicho si kitu cha kubeza. Makosa hayo hayo ya kiufundi ndiyo yamemfanya Lema pia kukaa mahabusu muda mrefu. Nadhani tuuachie upande was mashtaka ufanye kazi yake, kama baada ya marekebisho ya hati ya mashitaka bado wataona Luna haja ya kuendelea na kesi basis watafanya hivyo bt yo can't underestimate hizo technical problems
 
Back
Top Bottom