Mbunge Lijualikali atoa siri za CHADEMA; akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai

Hakuwa na sababu ya kuichafua CHADEMA angesema nimeamua kuunga juhudi kutokana na kasi ya maendeleo yanayofanywa na awamu hii.
Kusema njaa tunakosea ,ukosefu wa hekima,Busara unahusika.
+utoto

Sent using Jamii Forums mobile app

Na ameahidi kuwa akiguswa tena, basi ile formular ya fizikia (nimeisahau) ataitumia. Amewapiga mkwara akina Mbowe na Company.

Kijana anatisha huyu, kweli LUMUMBA watampa cheo tu. Kamwe nyanya haendi kulima.
 
Chacha Wangwe ni mtu pekee alikuwa na ideas nzuri za kuipeleka Chadema to the next level.
Mtu pekee! Duuh, ndio maana kuna watu huwa wanashawishi viongozi wa siasa kujiongezea muda ulio kinyume na katiba zao!
 
Huu mfano haukuwa sahihi. Mandela aliwasamehe maafisa jela lakini sio serikali ya makaburi. Ndio maana hakujiunga na chama cha The National Party baada ya kuachiwa na alisimamia uundwaji wa the Truth and Reconciliation Committee ili ukweli ujulikane. Ndio maana Bulaya alimshauri aweke akiba ya maneno. Sio kwamba afiche madudu lakini asijisemee tu ili mradi anataka kukichafua chama chake cha awali.

Amandla....
 
Mimi nawashangaa hawa vijana. Hapakuwa na haja ya kugeuza suala lao kuwa mpambano wao binafsi na Mwenyekiti. Wao wangetoka tu kama walivyojiunga na kuanza kupigia debe sera za chama chao kipya. Hii ya kushinda kurudia shutuma ambazo zimekuweko kwa miaka mingi hakuwasaidii kitu. Na kama kweli Mheshimiwa hakuandika ile taarifa ya kukiri kuwa alishinda ubunge wake kwa kuiba kura basi ajue hata huko anakoenda tayari ana watu wasiomtakia mema.

Amandla...
 
Hii kashfa TAKUKURU impandishe mbowe mahakamani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kawapasua juzi waitara leo lijualikubwa mtasaga sana kwapa kwa wakati huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amechoka kutapeliwa na matapeli ya siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipeni kodi hii ni tuhuma kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkajibu mahakamani sio hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…