Mbunge Lijualikali atoa siri za CHADEMA; akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
3,229
2,000
Huyu mtu ana uelewa mdogo sana, kazungumzia mengi, kawataja kina Msigwa na wengine watajibu wenyewe.

Hapa niongelee hili la yeye kuipinga hoja ya Chadema imemtoa mbali, anadai yeye na Chadema wote wametoana mbali, anasahau wakati Chadema imeanza harakati, yeye alikuwa hafahamiki popote na yeyote.

Nimuulize tu; kwanini aliamua kugombea ubunge wa jimbo lake kupitia Chadema na kuviacha vyama vingine vya upinzani?

Kama kweli anajiona yeye na Chadema ni nguvu sawa, kwanini asingegombea ubunge wa jimbo lake kupitia TLP au NCCR?

Na kama anajiamini ana nguvu, kwanini sasa hivi amekimbilia CCM akawe hata mfagizi, kwanini asiende kufagia TLP au Chaumma?!

Utaona wazi tu hapa kwamba, huyu jamaa anapenda kujitutumua, ila kwa kifupi ni mtu asie na shukrani, na asiejiamini, anajiona mwenye nguvu, ila anapenda kujiegemeza kwa ambavyo vimeshajengwa tayari na kusimama.

Kama kweli ana nguvu anazojinasibu anazo, atoke, aanzishe chama chake, halafu agombee ubunge tumuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kawapasua juzi waitara leo lijualikubwa mtasaga sana kwapa kwa wakati huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
3,229
2,000
Bila lijualikali huenda mpaka sasa chadema isingepata jimbo la kilombero Tulimchagua lijualikali sio kwasababu ya chama chake ni kwa sababu ya kujitoa kwake kabla hata hajawa diwani wa ifakara alikuwa anaushawish mkubwa ndani ya ifakara...Had chadema inachukua jimbo la kilombero lijua ameteseka sana so yupo sahihi kusema yeye na chadema wametoana mbali

Kuing'oa ccm kwenye jimbo waliloweka mizizi sio mchezo...Nakuahakikishia Chadema bila lijualikali isahau jimbo la kilombero Kwa sasa
Hakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
3,229
2,000
Amechoka kutapeliwa na matapeli ya siasa
Watu tunaamini mtu ukifikia level ya kutungua sheria yaani Mbunge basi unakomaa kifikra na kimtizamo kumbe utoto mtupu..

Wengine wanasema wanabakwa sijui anatomaswa maziwa..yaani mama mtu mzima kabisa unatunga sheria...unashikwa shikwa maziwa unatakaa miaka 5 kimya useless..useless!!

Sisi tunahangaika na hawa vipepeo wetu under 18, ala kumbe kuna mijipepeo mizee mijinga kabisa...

Hii ni aibu kubwa saana...aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
3,229
2,000
Lipeni kodi hii ni tuhuma kubwa sana
We tulia tu kiongozi huyu hana muda mrefu atapotea vbaya mno. Huko anakofikiri anahitajika kunawababe pia. Ni jambo la muda tu coz hata km anasema chadema walikwepa kodi hivi hicho chama anachokiamini kimetupa hasara kiasi gani cha matrilion watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
3,229
2,000
Useless person, una akili kama jamaa yako ambaye hajukikani kama ni kijana ama mzee, hivi wewe unaweza kumnyanyasa kingono mtunga sheria za nchi...kweli ...una akili wewe?

Yaani anakutunga sheria na sheria anaijua kabisa sasa wewe zumbukuku ati umshikeshike maziwa yake bila bidhaa yake...mavii...
Mkajibu mahakamani sio hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
3,229
2,000
Mtagombana na kila mtu na kila taasisi
Hiyo Lijua ameikuta Chadema tayari ipo, yeye kwa utashi wake akaamua kujiunga Chadema akiamini ataongeza nafasi zake kushinda, ukumbuke wakati anajiunga CDM, chama hiki kilikuwa tayari kimeshaota mizizi nchini, kwahiyo akachagua ambacho tayari kinafahamika kilichokwisha jengwa na wengine, kwanini hakwenda kugombea TLP kama kweli anafahamika huko jimboni?

Una habari juzi alisema alibebwa na mkurugenzi 2015?, hakushinda kwa nguvu zake kama unavyodhani.

Ok, tufanye alikosea kidogo; naamini hii ni nafasi yake kurekebisha mambo, sasa atoke CCM aliposema anaenda kuwa mfagizi, ambacho kimsingi tayari ni chama imara, aanzishe chama chake akiweza, au aende Chaumma, then agombee ubunge halafu mumchague ashinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
3,229
2,000
Sasa hivo anavoongea kihuni na kishamba akamuongelee mwenyekiti wa ccm km hajapotezwa na wasiojulikana.....
Awaulize kilicbowakuta kinana makamba nape membe mangula....... Kule ni kushoto kulia geuka ukipanua limdomo lako umekwisha...
Mbwa kabisa jamaa
Wahuni ni wale waliomtapeli ubunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
3,229
2,000
Ni msimu wa mavuno chadema inakufa
Naiman Kuna Wabunge wengine wengi Kama yeye wanasubir Bunge livunjwe watu waanze kutawanyika chadema inaenda kufa kwa Mambo mawili moja huenda kweli mbowe ndio tatizo au ni mipango na watu wamesha ahidiwa kuwa hawato poteza kitu hata wakitoka chadema

Mbowe angekua na akil angejiuzulu tu Mana yeye ndie kirus kwenye chama

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom