Mbunge Lema Anena ya Moyoni

Mbunge Lema Anena ya Moyoni

Imma Saro

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
394
Reaction score
197
"Nimeshinda kesi tena! Kwa kweli Mungu anatupenda sana na tutaendelea kupambana kutafuta haki bila hofu. Miili yetu na nafsi zetu zimepoteza maumivu kwa sababu ya mateso yaliyojaa uongi na hila. Hata hivyo tutaendelea na kelele za kupigania haki bila kurudi nyuma huku uvumilivu ukiwa nguzo yetu kuu"

Haya ni maneno ya Mh Godbless Lema asubuhi ya leo katika viwanja vya Mahakama Kuu Arusha mara baada ya kushinda kesi dhidi ya hila za Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo zikihusisha kilichodaiwa kuwa uchochezi kwa wanafunzi wa Uhasibu Arusha wamzomee Mulongo na kufanya fujo... Kesi hiyo imefutiliwa mbali baada ya washitaki kuomba hivyo pamoja na kwamba leo ndio ilikuwa siku ya kuanza kusikiliza ushahidi wa Mkuu wa Mkoa, Dean of Students, Makamu Mkuu wa Chuo na Maofisa wa Polisi wakiongozwa na OCD Muroto.




599775_529434653807200_2058817291_n.jpg







 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

kwa iyo tukimchagua Lema tutakufa kama mlivyoua raiya wema pale Soweto??
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.
...soma mada toa hoja,usijifanye kipofu. hoja iliyoko mezani lema kashinda kesi na aibu kwa mkuu wako wa mkoa. we nani kuwapangia wanaarusha.? ngoja mtupiwe tano bila, na mkiomba mechi iruidwe mnakula kumi na tano we ngoja tu....
 
Hakika haya maneno ya kifilosofia ninayoyasikia toka mdomoni kwa lema ni kama yale watu kama MAHATMA GANDHI, MARTIN LUTHER KING, NELSON MANDELA na wengineo waliyatamka, ukombozi uko karibu sana japo itachuku kitambo kidogo.

...ukweli Lema maneno yake yanaishi,trust me kauli hizi ni za kimapinduzi na ni nadra sana kupatikana na daima zitakumbukwa katika harakati za kuikomboa tanganyika...
 
Kila kesi anayofunguliwa lema anashinda na hii inaonyesha ni jinsi gani ila za ibilisi zinavyoshindwa, tuombe Mungu tuendelee kuwaunga makamanda wanaojitahidi kila kukicha kuikomboa Tanzania
 
Nimekuja kujua kuwa God bless lema ni mbarikiwa wa Mungu japo ana mapungufu yake kama binadamu na pia yeyote atakayesimama kupambana nae kwa hila lazima aanguke.

Mungu wabarike watu wote walimpigia kura GODbless lema kwa kuwa wao walikwenda kwa Mbunge ambaye atawawakilisha ipasavyo kuhakikisha serikali inayokusanya kodi inatatua kero za wananchi.Amani na upendo kwa kila mtanzania
 
Mkuu wa mkoa alikwenda kwenye tukio lile la mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha uhasibu kama anakwenda kwenye send-off. Ndivyo ilivyo.

CC: HAMY-D
 
Last edited by a moderator:
m..ise..ng.e mingine kama wewe na group lako mtanifanya nije nikosekane hapa jukwaani.

Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.


Mafisadi hamna bahati shwain sana!
 
Back
Top Bottom