KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,276
wamewekeza nguvu kubwa katika kumwinda, kumvamia na kumkamata Mheshimiwa Mbunge wa Arusha Mjini (Godbless Lema) kuliko hata nguvu watumiayo kumsaka muuaji wa marehemu mwanachuo wa chuo cha uhasibu Arusha. Daaaah...
mkuu cyo kosa lao wanatekeleza maagizo ya mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa ambaye naye anatekeleza maagizo ya aliyemchagua.kumbuka according to rule#1 boss is always right na polisi ni kosa kugomea order ya mkuu