Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Hivi kati ya Mbunge Godbless Lema,Mzalendo mwenye uchungu na Nchi hii inayofilisiwa na Mafisadi na yule Katibu wa Chama fulani cha Siasa anayesemekana kujihusisha na Biashara haramu ya Meno ya Tembo nani ni hatari kwa Taifa hili?Na nani alipaswa kuwa Selo mida.Akili za magamba bwana zimekaa kifisadi fisadi!
 
mnabishania jina,sisi muuaji tunaye selo na tutampeleka jela siku si nyingi

Tambua kuwa huo ujinga na upofu waliokujaza kwa ajili ya 7,000 unazopewa na ccm hapo Lumumba utajutia maishani mwako
 
Waziri wa wanafunzi? Au nchi gani?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kwa akilizi zake zilivyo ndogo, Mh. Lema ni mtu hatari kwa usalama wa watu. Huwezi jua ni kitu gani atafanya sekunde chache zijazo.

Ndogo kama zakwako wewe gamba usie na haya au kama za Kinana Nape Nwingulu zemacopolo. Hivi kuna mtu hatari kama huyo msomali wenu mzee wa pori
 
Ngoja tusubiri haki itendeke mahakamani hiyo Juma3!
 
Katika kufuatilia yaliyojiri kwa Mhe. Lema, kuna vitu kadhaa ninashindwa kuvielewa. Kosa la Lema linalosisitizwa liko katika muktadha wa kuwachochea wanachuo wa IAA-Arusha.
1. Mkuu wa Mkoa akatoa amri ya Mhe. Lema kujisalimisha Polisi. Kwanini amri hiyo isitolewe na RPC? Na kama kwa RPC ni sahihi, je DC dhidi ya OCD inaweza kuwa sahihi pia?

2. Kwanini Polisi wamekwenda kuchukua vitu kadhaa vya Mhe. Lema wakati wanajua havina ushirikiano wa moja kwa moja na makosa wanayomtuhumu?

Nahisi vyombo vya dola ndo vitakuwa vya kwanza kuhatarisha amani ya nchii. Viongozi wa serikali nao kutokujua majukumu yao na kutokukubali kukosolewa ni tatizo kubwa. kwani wamekosa weledi ya uongozi wanafanya maamuzi kwa jazba. mfano kitendo cha kumtoa lissu na kufukuza wabunge watano bungeni kwa ajili ya personal intelest ya mtu mmoja
 
Nawasikitikia sana Polisi , Kumweka selo Waziri wa Mambo ya Ndani !

Hivi kunapolisi wel trained anaweza kumgwaya mpuuzi lema!!!!!!!.Tunaomba safari hii wazee washingongumu FFU wawaibukie mjengoni wawape kisago cha mbwa mwizi.Rpc Dodoma hatutaki kuona unawanyamazia hawa mbwa na mwenyembwa mwenyewe,ref mbunge ccm mjengoni.
 
hilo ni kumpotezeamuda lema ccm hawatumii akili ila mahakamani ndo kuzuli kuwaumbua magamba na propaganada zao za miaka ileeeee
 
Katika kufuatilia yaliyojiri kwa Mhe. Lema, kuna vitu kadhaa ninashindwa kuvielewa. Kosa la Lema linalosisitizwa liko katika muktadha wa kuwachochea wanachuo wa IAA-Arusha.
1. Mkuu wa Mkoa akatoa amri ya Mhe. Lema kujisalimisha Polisi. Kwanini amri hiyo isitolewe na RPC? Na kama kwa RPC ni sahihi, je DC dhidi ya OCD inaweza kuwa sahihi pia?

2. Kwanini Polisi wamekwenda kuchukua vitu kadhaa vya Mhe. Lema wakati wanajua havina ushirikiano wa moja kwa moja na makosa wanayomtuhumu?

Njaa ya tumbon!!!
 
Kwa akilizi zake zilivyo ndogo, Mh. Lema ni mtu hatari kwa usalama wa watu. Huwezi jua ni kitu gani atafanya sekunde chache zijazo.
Naona unaendelea kufikiri kimagambamagamba badala ya kuzungumzia hoja,unafikri hiyo ndiyo itakuwa dawa, wajulishe magamba wenzako ambao ndiyo wanaunda serikali waache kuhangaika na Lema badala yake watoe majibu ya msingi kuhusiana na kero za watanzania badala ya kuhangaika na kina Lema.
 
Habari za uhakika zinaonyesha kuwa ccm imejipanga kuendelea kuongoza shamba la bibi in 2015 na ili kufanikisha hili ni lazima watu wasumbufu washughulikiwe. Wameanza na Lema na baadaye watamilizia kwa Dr. Slaa..! Sasa every one has a choice to make, either you are with us or you are with terosists.!
 
mnabishania jina,sisi muuaji tunaye selo na tutampeleka jela siku si nyingi

Mavi ya panya. Chunga ulimi wako .... Statements zako zitakugharimu usipokuwa makini katika maisha yako. IDIOT namba moja! Muuaji ni MCHAWI bibiyo.
 
hivi kunapolisi wel trained anaweza kumgwaya mpuuzi lema!!!!!!!.tunaomba safari hii wazee washingongumu ffu wawaibukie mjengoni wawape kisago cha mbwa mwizi.rpc dodoma hatutaki kuona unawanyamazia hawa mbwa na mwenyembwa mwenyewe,ref mbunge ccm mjengoni.

kaka naona umesahau kichwa chako chooni ukaja kuandika ujinga hapa. Mpuuzi ni wewe mwenyewe ... Sisi wana arusha tuna akili zetu timamu na hatukumchagua mpuuzi kuwa mbunge wetu. Wewe kutokana na bichwa lako kubwa mithili ya dafu lenye maji mengi yasiyo na ladha unakuja kuropokaropoka hapa. Hivi tz kuna askari trained kweli? Kulikuwa na sababu gani ya kuleta askari wa interpol .... Ushauri unaotoa kwa magamba wenzio kutumia ffu ndio unaoendelea kuwamaliza magamba na ni lazima by 2015 msalimishe madaraka kwa cdm maana tumeshachoka kuongozwa na vilaza kama ninyi. Nincompoop kabisa wee!!
 
mnabishania jina,sisi muuaji tunaye selo na tutampeleka jela siku si nyingi

Muuaji wa nini? Lema kamuua nani? CCM mmeshindwa kuwatumia polisi kupambana na majambazi pamoja na vibaka wanaohatarisha maisha ya wananchi wakiwemo wanafunzi vyuoni, badala yake mnawatumia polisi na vyombo vingine vya ulinzi kupambana na watu wanaowaambia ukweli kwamba nchi imewashinda na kwamba uongozi wenu ni mbovu.

Nitasema bila kificho kwamba Kikwete ni failure president hana uwezo kabisa. Miaka kumi ya utawala wake imekuwa ni miaka ya nchi kuongozwa kibabe dhidi ya raia wema, huku akitumia mabavu kuwalinda wezi, wala rushwa pamoja na viongozi wazembe. Hali ya nchi inaendelea kuwa mbaya huku yeye akiendelea kutabasamu na kuchekelea wabadhirifu, na kuwashughulikia wanaohoji ubovu wa utawala wake. Imefika mahali hadi akina Mwinyi wanalazimika kusaidia kutoa matamko ambayo yalipaswa yatolewe na Rais ni aibu sana kuwa na kiongozi wa nchi wa aina hii.

Nyie akina m23 ambaye mpo naye karibu mshaurini tu ajiuzuru. Ataonyesha uungwana mkubwa sana kwa kujiuzulu kuliko kuendelea kuifilisi nchi huku watanzania wakiendelea kuuawa na polisi na pia kwa kukosa huduma bora hospitalini.
 
wanafanya vitu kwa maelekezo kutoka kwa mzee wa fastjet, si mnamjua mzee wa fastjet alivyo mjingamjinga anaona jamaa akikaa sero then akija kutoka hata kama kesi itakuwa hamna lkn atakuwa amemkomoa.
Tehe tehe tehe!
 
Katika kufuatilia yaliyojiri kwa Mhe. Lema, kuna vitu kadhaa ninashindwa kuvielewa. Kosa la Lema linalosisitizwa liko katika muktadha wa kuwachochea wanachuo wa IAA-Arusha.
1. Mkuu wa Mkoa akatoa amri ya Mhe. Lema kujisalimisha Polisi. Kwanini amri hiyo isitolewe na RPC? Na kama kwa RPC ni sahihi, je DC dhidi ya OCD inaweza kuwa sahihi pia?

2. Kwanini Polisi wamekwenda kuchukua vitu kadhaa vya Mhe. Lema wakati wanajua havina ushirikiano wa moja kwa moja na makosa wanayomtuhumu?
Hivi wewe mbulumundu unataka kuwapangia polisi kazi au?
Ni jukumu la polisi kuchukua nyaraka zozote zinazoweza kutumika kama ushahidi mahakamani.
Vitu kama laptops na simu vinatunza kumbu kumbu nyingi tu, kuanzia mawasiliano yako na magaidi wengine hadi video za kichochezi.
Pia ni rahisi kunasa mipango yoyote inayoweza kuwa imepangwa kufanyika. Subiri tamko la polisi utasikia mengi
Halfu nikukumbushe tu kuwa mkuu wa mkoa ndio mkuu wa kamati ya ulizni na usala wa mkoa, anamuwakilisha Rais kwenye mkoa hivyo katika mkoa wa ASrusha mkuu wa mkoa ndio mkubwa ki protocol kuliko wote hapo mkoani, na huyo Lema ni mbunge tu kama nasari
 
wanafanya vitu kwa maelekezo kutoka kwa mzee wa fastjet, si mnamjua mzee wa fastjet alivyo mjingamjinga anaona jamaa akikaa sero then akija kutoka hata kama kesi itakuwa hamna lkn atakuwa amemkomoa.
Tehe tehe tehe!

I doubt kama atakuwa amemkomoa Lema bali takuwa ameikomoa CCM,ninawapa pole sana CCM kwa mwendo huu sidhani kama watatufikisha tunakotaka kwenda.
 
Hivi wewe mbulumundu unataka kuwapangia polisi kazi au?
Ni jukumu la polisi kuchukua nyaraka zozote zinazoweza kutumika kama ushahidi mahakamani.
Vitu kama laptops na simu vinatunza kumbu kumbu nyingi tu, kuanzia mawasiliano yako na magaidi wengine hadi video za kichochezi.
Pia ni rahisi kunasa mipango yoyote inayoweza kuwa imepangwa kufanyika. Subiri tamko la polisi utasikia mengi
Halfu nikukumbushe tu kuwa mkuu wa mkoa ndio mkuu wa kamati ya ulizni na usala wa mkoa, anamuwakilisha Rais kwenye mkoa hivyo katika mkoa wa ASrusha mkuu wa mkoa ndio mkubwa ki protocol kuliko wote hapo mkoani, na huyo Lema ni mbunge tu kama nasari
maana hapa ni kama vipofu wawili wanaoneshana njia. kama mkuu wa mkoa ni mpumbavu sasa anatusaidia nini? kama yuko kwa kujikomba kwa wakubwa anafaida gani kwetu kama siyo ubwege
 
Kwa akilizi zake zilivyo ndogo, Mh. Lema ni mtu hatari kwa usalama wa watu. Huwezi jua ni kitu gani atafanya sekunde chache zijazo.

Kimwingiacho mtu hakiwezi kumnajisi ila kile kimtokacho. Siku familia yako au wewe mwenyewe utakapokumbwa na dhahama ya namna hi ndipo utakapokumbuka maneno yako na tayari utakuwa umejinajisi. Kama akili yako imechina walau tumia dhamiri yako.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom