Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,881
- 93,648
Acha wauane hawa wapuuziMbunge Elibariki Kingu amesema kwa mujibu wa Uchambuzi wake, Askofu Josephat Gwajima alidhamiria kuichonganisha Serikali na Wananchi ili watu wakose imani nayo
"Kitendo cha Gwajima kujitokea hadharani na kuwaambia Watanzania Chanjo mnayokwenda kuchanjwa haijafanyiwa Utafiti, adhabu zisiishie hapo. Hata Halima Mdee hajawahi kutufanyia vitimbi vya namna hii"
Amesema anashangaa kwanini Chama cha Mapinduzi (CCM) haijachukua hatua dhidi ya Askofu Gwajima
KabisaDhambi za kuiba kura
Wataalamu waliounda tume ya Rais kutafiti chanjo wameruhusu pasi na shaka kuwa chanjo inafaa , na Rais akapigwa chanjo, halafu anatokea mtu amekula maharage anasema watu wamepewa pesa, akiambiwa athibitishe hawezi sasa unataka achekewe tuuu haipoJe nini wapenda chanjo mna ushahidi wa utafiti wa madhara ya hiyo chanjo??? Wewe na wenzako kwa sababu mlikuwa na chuki binafsi na Magufuli ndiyo maana kila linaloenda kinyume na Magufuli mnalibeba bila kutumia akili.
Mbali wapi tena?maana yeye amefanya kazi yake vizuri kuishauri serikaliUmeridhika na maneno yake tu , huoni kama alipaswa kwenda mbali zaid ya hayo maneno?
Hoja zenyewe haziko kitaalam ,atjibiwaje kitaalamWajibu kitaalamu hoja za Gwajima na siyo kuleta mipasho
Anauliza hi chanjo inaweza kumkinga mtu kwa muda gani?H
Hoja zenyewe haziko kitaalam ,atjibiwaje kitaalam
Mbunge Elibariki Kingu amesema kwa mujibu wa Uchambuzi wake, Askofu Josephat Gwajima alidhamiria kuichonganisha Serikali na Wananchi ili watu wakose imani nayo.
"Kitendo cha Gwajima kujitokea hadharani na kuwaambia Watanzania Chanjo mnayokwenda kuchanjwa haijafanyiwa Utafiti, adhabu zisiishie hapo. Hata Halima Mdee hajawahi kutufanyia vitimbi vya namna hii".
Amesema anashangaa kwanini Chama cha Mapinduzi (CCM) haijachukua hatua dhidi ya Askofu Gwajima.
Utakuwa unasumbuliwa chuki binafsi kwa serikali ya raisi Samia.Pumba kabisa. Mama Samia atakuwa anawazoom tu. Gwajima kasema chanjo ni ya majaribio na hata Magufuli alishaonya, then huyu mbunge msaka tonge anadhani atateuliwa anaongea pumba
Mimi mama Samia nampenda sana tena sana, na kwa taarifa yako namuunga mkono kwa 100%. Hata yeye anawawashangaa wabunge walivyo mbumbu kwa kumhukumu Gwajima.Utakuwa unasumbuliwa chuki binafsi kwa serikali ya raisi Samia.
Kingu ameongea vizuri mno!
Hajawahi kuteuliwa, sijui ana mkosi gani. Kazi yake kuuza sura kahawa pale na sendoz zake za plastic. 😀Pumba kabisa. Mama Samia atakuwa anawazoom tu. Gwajima kasema chanjo ni ya majaribio na hata Magufuli alishaonya, then huyu mbunge msaka tonge anadhani atateuliwa anaongea pumba
Tangu hisa za shirika la ndege tz kupikwa kwa namna ile mwaka juzi na mkaguzi kuja kulibumbulua kwenye tarifa yake je wanatofautiana vipi na kajima.
Mbunge Elibariki Kingu amesema kwa mujibu wa Uchambuzi wake, Askofu Josephat Gwajima alidhamiria kuichonganisha Serikali na Wananchi ili watu wakose imani nayo.
"Kitendo cha Gwajima kujitokea hadharani na kuwaambia Watanzania Chanjo mnayokwenda kuchanjwa haijafanyiwa Utafiti, adhabu zisiishie hapo. Hata Halima Mdee hajawahi kutufanyia vitimbi vya namna hii".
Amesema anashangaa kwanini Chama cha Mapinduzi (CCM) haijachukua hatua dhidi ya Askofu Gwajima.
Wajibu kitaalamu hoja za Gwajima na siyo kuleta mipasho
Gwajima ni muhaini,serikali inatakiwa imshughulikie ipasavyo
Inategemea na aina ya chanjo kuna chanjo kama za hepatitis unachoma zaidi ya mara moja baada ya hapo huhitaji tena kuchanjwaAnauliza hi chanjo inaweza kumkinga mtu kwa muda gani?
Tujibu wewe mtaalamu.
Anauliza kwanini mtu lazima ajaze consent form kabla ya chanjo wakati chanjo zote hatukuwahi kujaza consent form Kama za yellow fever,tetanus, typhoid nk.
Tujibu wewe mtaalamu Ili tuachane na huyu jamaa.