PreGE2025 Mbunge Kibamba: Watanzania wengi wanatamani kuona sura ya Rais Samia kwenye fedha zetu

PreGE2025 Mbunge Kibamba: Watanzania wengi wanatamani kuona sura ya Rais Samia kwenye fedha zetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
“Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
 
Tuna watu punguani kiasi hiki bungeni, halafu tunasema kuwa na sisi tuna Bunge!

huyu lazima ni mgonjwa wa akili. Hata angeenda mbunge wa darasa la pili failure bungeni, sidhani kama anaweza kutoa mchango wa kijinga namna hii bungeni.
 
“Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
View attachment 3320294
Huyu mbunge lazima atakuwa na mapepo.sisi tunawaza maisha mazuri yeye anawaza sura ya raisi kwenye pesa!itasaidia nini kwa watz?watz wanataka maisha bora na si sura ya mtu.
 
Back
Top Bottom