Mbunge kaugua ghafla

Mbunge kaugua ghafla
quote_icon.png
By Saint Ivuga

"Hii picha haizoeleki, sijui kwanini....

aisee
"

Hii njemba sio kwamba imeuchapa usinginzi, bali inatafakari hoja. Ndivyo wana cc-magamba wafanyavyo tafukuri zao na ndio maana kila mbongo ana-enjoy maisha bora!!! Go mzee tyson!
 
Mwanahamis Said wa viti maalum (CCM) kutoka Chakechake Pemba

Chakechake Pemba?! Ahaa wanaiongezea Serikali mzigo bure, Pemba ilipaswa kuwa na Mbunge mmoja tu Pale mjengoni Dom, sijui Bara tutazinduka lini maana labda tulitakiwa kuwa na Wabunge kila kata kama ni hivyo.
 
pole sana na dada mwanakhamis

tunakutakia upoe haraka ili uendelee na shughuli zako ikiwemo za kujenga hoja biungeni

chadema oyeee, sisi wanachadema daima tuko mstari wa mbele kuitakia mema nchi yetu na watu wake, bila kujali itikadi, rangi au ukanda. kwa hio sio vyema kwa wanachadema kutafakari kwa chuki na uhasama kama wanavyofanya chama cha magamba
 
Mbunge kaugua ghafla
quote_icon.png
By Saint Ivuga

"Hii picha haizoeleki, sijui kwanini....

aisee
"

Hii njemba sio kwamba imeuchapa usinginzi, bali inatafakari hoja. Ndivyo wana cc-magamba wafanyavyo tafukuri zao na ndio maana kila mbongo ana-enjoy maisha bora!!! Go mzee tyson!

Hivi ni kwanini wanamwita tyson?
 
Huyu Tyson nadhani hawezi tena kurudi bungeni awaachie vijana apate muda mwingi wa kupumuzika. Wana bunda palekeni hii picha kwa wapiga kura wake!
 
Back
Top Bottom