A Aine JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,603 Reaction score 489 Jun 24, 2011 #81 Mungu amsaidie apone haraka!
A Aine JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,603 Reaction score 489 Jun 24, 2011 #82 Msarendo said: smh!! Hawa ndio watunga sera wa tanzania. TaFakaRi. Click to expand... Ni nzuri lakini si mahali pake. Nadhani hii ingekuwa mada nyingine jamani, mbona tunachanganya mada?
Msarendo said: smh!! Hawa ndio watunga sera wa tanzania. TaFakaRi. Click to expand... Ni nzuri lakini si mahali pake. Nadhani hii ingekuwa mada nyingine jamani, mbona tunachanganya mada?
baina JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 219 Reaction score 60 Jun 24, 2011 #83 Nahisi kwa kuwa yeye ni waziri wa uratibu basi atakuwa ndo anaratibu
Bramo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 13,230 Reaction score 10,201 Jun 24, 2011 #84 Bajabiri said: Kesho keshokutwa utaskia parapandaaaaaaa Click to expand... Acha Uchuro
M Marytina JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 9,738 Reaction score 8,005 Jun 24, 2011 #85 Saint Ivuga said: Click to expand... yes! it is true we belong in the same family PRIMATE, THE family has Nyani,Sokwe na Binadamu
Saint Ivuga said: Click to expand... yes! it is true we belong in the same family PRIMATE, THE family has Nyani,Sokwe na Binadamu
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,728 Reaction score 1,209 Jun 24, 2011 #86 Ila ni vyema wao kuyafanyia mzaha matatizo yenu.......... Sangara said: si vyema kufanyia mzaha matatizo ya mtu...sote sie ni wagonjwa watarajiwa. Click to expand...
Ila ni vyema wao kuyafanyia mzaha matatizo yenu.......... Sangara said: si vyema kufanyia mzaha matatizo ya mtu...sote sie ni wagonjwa watarajiwa. Click to expand...
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,728 Reaction score 1,209 Jun 24, 2011 #87 Si uchuro.....ni core course hiyo mdau.....kwan kufa ajabu?????mara ngapi wanaangukia mjengon then wanavuta.... Bramo said: Acha Uchuro Click to expand...
Si uchuro.....ni core course hiyo mdau.....kwan kufa ajabu?????mara ngapi wanaangukia mjengon then wanavuta.... Bramo said: Acha Uchuro Click to expand...
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Jun 24, 2011 #88 Jamani huyo Mwanahamisi sijui nani ni mbunge wa wapi?
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,963 Jun 24, 2011 #89 Huyo alieanguka sio usingizi kweli huyo maana wengine wanakesha kwene naninhiiii zile nyumba za wanyeji sorry za wageni
Huyo alieanguka sio usingizi kweli huyo maana wengine wanakesha kwene naninhiiii zile nyumba za wanyeji sorry za wageni
Naloli JF-Expert Member Joined Aug 26, 2010 Posts 416 Reaction score 81 Jun 24, 2011 #90 tumuombee afya yake iimarike ili awawakilishe vema walio mtuma
Keren_Happuch JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 1,874 Reaction score 935 Jun 24, 2011 #91 Speaker said: Duh,asiamke tu ili nijiandae kugombea,.... bahati ilyoje ijumaa hii Click to expand... duh!!...hiii kali!!!
Speaker said: Duh,asiamke tu ili nijiandae kugombea,.... bahati ilyoje ijumaa hii Click to expand... duh!!...hiii kali!!!
Keren_Happuch JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 1,874 Reaction score 935 Jun 24, 2011 #92 Saint Ivuga said: Click to expand... hawa ndo wabunge wetu.....aibu tupu......🙁
Feedback JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 7,988 Reaction score 4,514 Jun 24, 2011 #93 Naloli said: tumuombee afya yake iimarike ili awawakilishe vema walio mtuma Click to expand... Kwani hujui vitu maalum huwa wanatumwa na nani.
Naloli said: tumuombee afya yake iimarike ili awawakilishe vema walio mtuma Click to expand... Kwani hujui vitu maalum huwa wanatumwa na nani.
Feedback JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 7,988 Reaction score 4,514 Jun 24, 2011 #94 Saint Ivuga said: Click to expand... Hajalala ila anafikiria hivi kwa nini Mbowe anataka sitting allowance zifutwe?
Saint Ivuga said: Click to expand... Hajalala ila anafikiria hivi kwa nini Mbowe anataka sitting allowance zifutwe?
Bams JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 19,768 Reaction score 49,934 Jun 24, 2011 #95 Katavi said: Jamani huyo Mwanahamisi sijui nani ni mbunge wa wapi? Click to expand... Mwanahamis Said wa viti maalum (CCM) kutoka Chakechake Pemba
Katavi said: Jamani huyo Mwanahamisi sijui nani ni mbunge wa wapi? Click to expand... Mwanahamis Said wa viti maalum (CCM) kutoka Chakechake Pemba
CAMARADERIE JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 4,419 Reaction score 1,929 Jun 24, 2011 #96 Bams said: Mwanahamis Said wa viti maalum (CCM) kutoka Chakechake Pemba Click to expand... Atakuwa na jini huyu......lile la Kashkash mwana wa Dimdim
Bams said: Mwanahamis Said wa viti maalum (CCM) kutoka Chakechake Pemba Click to expand... Atakuwa na jini huyu......lile la Kashkash mwana wa Dimdim
M Marytina JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 9,738 Reaction score 8,005 Jun 24, 2011 #97 Bams said: Mwanahamis Said wa viti maalum (CCM) kutoka Chakechake Pemba Click to expand... mfano akifa tutapata hasara gani????????
Bams said: Mwanahamis Said wa viti maalum (CCM) kutoka Chakechake Pemba Click to expand... mfano akifa tutapata hasara gani????????
MAMMAMIA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 3,811 Reaction score 1,607 Jun 24, 2011 #98 Feedback said: Hajalala ila anafikiria hivi kwa nini Mbowe anataka sitting allowance zifutwe? Click to expand... Huyu hakulala anatafakari tu. Mnakumbuka msemo "ukiona kobe kainama anatunga sheria?". Basi bungeni ukiona mbunge wa sisiemu kainama "sio kulala) huwa anatutungia sheria. AIBU! AIBU! AIBU!
Feedback said: Hajalala ila anafikiria hivi kwa nini Mbowe anataka sitting allowance zifutwe? Click to expand... Huyu hakulala anatafakari tu. Mnakumbuka msemo "ukiona kobe kainama anatunga sheria?". Basi bungeni ukiona mbunge wa sisiemu kainama "sio kulala) huwa anatutungia sheria. AIBU! AIBU! AIBU!
Ng'azagala JF-Expert Member Joined Jun 7, 2008 Posts 1,288 Reaction score 222 Jun 24, 2011 #99 Marytina said: mfano akifa tutapata hasara gani???????? Click to expand... hivi wewe kichwani zimo kweli? kwani wewe ukifa wao watapata hasara gani? tujali utu jamani
Marytina said: mfano akifa tutapata hasara gani???????? Click to expand... hivi wewe kichwani zimo kweli? kwani wewe ukifa wao watapata hasara gani? tujali utu jamani
Feedback JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 7,988 Reaction score 4,514 Jun 24, 2011 #100 Ng'azagala said: hivi wewe kichwani zimo kweli? kwani wewe ukifa wao watapata hasara gani? tujali utu jamani Click to expand... Mbona mnakuwa wakali sana mkitajiwa kifo.
Ng'azagala said: hivi wewe kichwani zimo kweli? kwani wewe ukifa wao watapata hasara gani? tujali utu jamani Click to expand... Mbona mnakuwa wakali sana mkitajiwa kifo.