Mbunge kaugua ghafla

Kama ni wa magamba atakuwa ameambukizwa ugonjwa huo na mkulu wao.
 
si vyema kufanyia mzaha matatizo ya mtu...sote sie ni wagonjwa watarajiwa.
 
Hujatumalizia ile hadithi yako ya Saanaane huko Nairobi enhe ikawaje................

Si kuna thread nilianzisha mods wameitoa?wako makini kumlinda Dikteta wenu wa huko chagga mafioso Declpmnt...anekuwa Nape nnauye ingeondolewa?mods acheni kuwalinda hawa madikteta wa cdm....
 
Value plus kupigwa mchupa usiku kucha ha ha ha
 
Alikuwa amekaa tu wakati mbunge wa njombe alikuwa akichangia hoja,pamoja na yote mbunge huyo hakucheza fair play aliendelea kuongea mpaka m'kiti alipomsimamisha kuongea na haikutosha jamaa aliadai muda wake utunze
Duh huyu mbunge naye yaani kinacho matter kwake ni muda kuliko uzima wa mwenzake sasa anadai muda wake utunzwe hadi lini atakapopona.
 
Natoa pole sana kwa mama huyu. Ana umri gani kuna anayejua umri wake? Ni ugonjwa ama ni umri?
 
wasira hongera kwa kuuchapaaaaaaa usingizi ndio ulitumwa ukafanye hayo bungeni??????????????????????????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…