Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,725
- 3,796
Akimuacha, mi namfuata kwao Kiomboi.Hayo ndiyo Madhara ya kumpa nguvu kubwa mwanamke na Faida ya haki sawa kwa wote!!...
Maamuzi yapo kwa David Kafulila sasa kuamua!!...

Kabila lake nasikia maharage ya mbeya,maji mara 1
Wanawake wa kinyeramba ninaowajua Mimi,ni hulka yao kiburi,matambo & usalit.Mbunge wa viti Maalum kupitia Chadema Jesca Kishoa Kafulila amekiuka mila za kabila la wanyiramba Kwa kufanya utovu wa Nidhamu kujitokeza hadharani Kwenye TV na kumnanga mume wake David Kafulila.
Ni mwiko Kwa mila za Kinyiramba mtoto wa kike kujibizana na mume wako hadharani .Jesca ameenda Kwenye TV amekiuka mila na kosa hili mpaka afanyiwe Zindiko lá kondoo mweupe vinginevyo Ndoa yake itavunjika na hawezi kuolewa Tena maisha yake yote. Hiyo ni Laana amejipalia ama Kwa makusudi au kutojua au mhemko wa siasa.
Jesca Kishoa aliolewa na Kafulila wakati huo Kafulila akiwa NCCR MAGEUZI na Jesca Alikuwa ni CHADEMA. kwahiyo walioana wakiwa na itikadi tofauti.
Jesca nini kilichokupeleka Kwenye TV kushambulia mume wako? Wewe ni Msemaji wa Chadema taifa? Unatumwa na Wanasiasa kuharibu Ndoa yako? Kweli mwanamke mjinga huivunja Ndoa Kwa mikono yake mwenyewe.
Umekosea sana, umekiuka mila za Kinyiramba waziwazi, Njoo Kwa Wazee uombe radhi na Zindiko lá kondoo mweupe lifanyike haraka. Ukikataa kufuata Ushauri huu wa kimila Ndoa yako itavunjika na hutakaa uolewe maisha yako yote.
Songela Mbwanuwe!!!!!!
Yaani mayo leka ileka.Mbunge wa viti Maalum kupitia Chadema Jesca Kishoa Kafulila amekiuka mila za kabila la wanyiramba Kwa kufanya utovu wa Nidhamu kujitokeza hadharani Kwenye TV na kumnanga mume wake David Kafulila.
Ni mwiko Kwa mila za Kinyiramba mtoto wa kike kujibizana na mume wako hadharani .Jesca ameenda Kwenye TV amekiuka mila na kosa hili mpaka afanyiwe Zindiko lá kondoo mweupe vinginevyo Ndoa yake itavunjika na hawezi kuolewa Tena maisha yake yote. Hiyo ni Laana amejipalia ama Kwa makusudi au kutojua au mhemko wa siasa.
Jesca Kishoa aliolewa na Kafulila wakati huo Kafulila akiwa NCCR MAGEUZI na Jesca Alikuwa ni CHADEMA. kwahiyo walioana wakiwa na itikadi tofauti.
Jesca nini kilichokupeleka Kwenye TV kushambulia mume wako? Wewe ni Msemaji wa Chadema taifa? Unatumwa na Wanasiasa kuharibu Ndoa yako? Kweli mwanamke mjinga huivunja Ndoa Kwa mikono yake mwenyewe.
Umekosea sana, umekiuka mila za Kinyiramba waziwazi, Njoo Kwa Wazee uombe radhi na Zindiko lá kondoo mweupe lifanyike haraka. Ukikataa kufuata Ushauri huu wa kimila Ndoa yako itavunjika na hutakaa uolewe maisha yako yote.
Songela Mbwanuwe!!!!!!
Wewe umeolewa?Mbunge wa viti Maalum kupitia Chadema Jesca Kishoa Kafulila amekiuka mila za kabila la wanyiramba Kwa kufanya utovu wa Nidhamu kujitokeza hadharani Kwenye TV na kumnanga mume wake David Kafulila.