Mbunge Jesca Kishoa umekiuka Mila Za Kinyiramba

Mbunge wa viti Maalum kupitia Chadema Jesca Kishoa Kafulila amekiuka mila za kabila la wanyiramba Kwa kufanya utovu wa Nidhamu kujitokeza hadharani Kwenye TV na kumnanga mume wake David Kafulila.

Ni mwiko Kwa mila za Kinyiramba mtoto wa kike kujibizana na mume wako hadharani .Jesca ameenda Kwenye TV amekiuka mila na kosa hili mpaka afanyiwe Zindiko lá kondoo mweupe vinginevyo Ndoa yake itavunjika na hawezi kuolewa Tena maisha yake yote. Hiyo ni Laana amejipalia ama Kwa makusudi au kutojua au mhemko wa siasa.

Jesca Kishoa aliolewa na Kafulila wakati huo Kafulila akiwa NCCR MAGEUZI na Jesca Alikuwa ni CHADEMA. kwahiyo walioana wakiwa na itikadi tofauti.

Jesca nini kilichokupeleka Kwenye TV kushambulia mume wako? Wewe ni Msemaji wa Chadema taifa? Unatumwa na Wanasiasa kuharibu Ndoa yako? Kweli mwanamke mjinga huivunja Ndoa Kwa mikono yake mwenyewe.

Umekosea sana, umekiuka mila za Kinyiramba waziwazi, Njoo Kwa Wazee uombe radhi na Zindiko lá kondoo mweupe lifanyike haraka. Ukikataa kufuata Ushauri huu wa kimila Ndoa yako itavunjika na hutakaa uolewe maisha yako yote.

Songela Mbwanuwe!!!!!!
Unahitaji maombi ya kuvunja maagano ya vizazi na madhabahu za Giza.
 
kitendo cha mke wa david kafulila kuita watu wa habari na kumkana mumewe hadharani kimenikwaza saaana.jana nimeangalia taarifa ya habari kupitia azam TV mwanamke akimkana mumewe hadharani kimenisikitisha saana.

Bila hata kukurupuka angekaa na mumewe kujadili kabla ya kwenda kutafuta umaarufu kupitia Wana habari.huu ni usaliti mkubwa sana hasa Kwa wanandoa.
Haiwezekani hata siku moja eti mke anasema hakushirikishwa katika maamuzi hiyo haiingii akilini hata siku moja.
Kama ningukua kafulila hiyo ndio talaka yake mi sina uvumilivu kiasi hicho.najua mtakuja na mapovu kibao lakini ndio msimamo wangu.
Futeni na hii thread yangu mana hapa jf nafikir Hua kunawatu maalum wa kuongea siasa.
Msimamo wa hovyo, ulitaka iweje. Kwani kila mtu atakuwa na mawazo sawa na wewe?
 
Mke wa Kafulila halikuwa hana namna zaidi ya kumkana mumewe ili kutetea uanachama wake wa chadema kwa lengo la kulinda Ubunge wake.

Unadhani angefanya nini ili kujibu maswali yaliyopo kwenye vichwa vya watu wengi?

Ubunge wa viti maalumu vimemfanya mke amkane mumewe katika kundi la waandishi wa habari kama ulinzi wake wa kisiasa katika chama chake cha chadema
Umemaliza mkuu, mjadala umefungwa.
 
Mbunge wa viti Maalum kupitia Chadema Jesca Kishoa Kafulila amekiuka mila za kabila la wanyiramba Kwa kufanya utovu wa Nidhamu kujitokeza hadharani Kwenye TV na kumnanga mume wake David Kafulila.

Ni mwiko Kwa mila za Kinyiramba mtoto wa kike kujibizana na mume wako hadharani .Jesca ameenda Kwenye TV amekiuka mila na kosa hili mpaka afanyiwe Zindiko lá kondoo mweupe vinginevyo Ndoa yake itavunjika na hawezi kuolewa Tena maisha yake yote. Hiyo ni Laana amejipalia ama Kwa makusudi au kutojua au mhemko wa siasa.

Jesca Kishoa aliolewa na Kafulila wakati huo Kafulila akiwa NCCR MAGEUZI na Jesca Alikuwa ni CHADEMA. kwahiyo walioana wakiwa na itikadi tofauti.

Jesca nini kilichokupeleka Kwenye TV kushambulia mume wako? Wewe ni Msemaji wa Chadema taifa? Unatumwa na Wanasiasa kuharibu Ndoa yako? Kweli mwanamke mjinga huivunja Ndoa Kwa mikono yake mwenyewe.

Umekosea sana, umekiuka mila za Kinyiramba waziwazi, Njoo Kwa Wazee uombe radhi na Zindiko lá kondoo mweupe lifanyike haraka. Ukikataa kufuata Ushauri huu wa kimila Ndoa yako itavunjika na hutakaa uolewe maisha yako yote.

Songela Mbwanuwe!!!!!!
Kwa mila zenu za kinyiramba mlikuwa na shule zilizowesha wewe kuweza kuandika uliyobandika hapa? Bila shaka na nguo haikuwa mila yenu
 
kitendo cha mke wa david kafulila kuita watu wa habari na kumkana mumewe hadharani kimenikwaza saaana.jana nimeangalia taarifa ya habari kupitia azam TV mwanamke akimkana mumewe hadharani kimenisikitisha saana.

Bila hata kukurupuka angekaa na mumewe kujadili kabla ya kwenda kutafuta umaarufu kupitia Wana habari.huu ni usaliti mkubwa sana hasa Kwa wanandoa.
Haiwezekani hata siku moja eti mke anasema hakushirikishwa katika maamuzi hiyo haiingii akilini hata siku moja.
Kama ningukua kafulila hiyo ndio talaka yake mi sina uvumilivu kiasi hicho.najua mtakuja na mapovu kibao lakini ndio msimamo wangu.
Futeni na hii thread yangu mana hapa jf nafikir Hua kunawatu maalum wa kuongea siasa.
ukioa/kuolewa ndo utajua sio wanandoa wote wanashirikishana kwenye maamuz
na ni jambo la kawaida sana,,nimeshuhudia mwanamke anajenga kwao mume hana habar amekuja kujua wakat wanafanya wiring tena sio kwa kuambiwa na mkewe bali watu wa nyumban kwa mkewe walikua wanampongeza jamaa kwa kuwajengea wakwe zake
oa ndo ulete mawazo yako
 
Sioni tatizo la kuwafanya waachane, lada tu suala la usalama wa maisha ya kila mmoja kati yao hasa ukizingatia wanatofautiana kiitikadi na kimasilahi, manake siasa za afrika zmegubikwa na mengi sana.
 
Mtoa thread ana matatizo

Hayo maneno ya jesca waliyapanga na mumewe namna ya kuyawasilisha na huenda kafulila ndiye aliyemtungia yale maneno

You are too young kuelewa mambo
 
Ayo mambo ya kimila, mara kondoo mweupe mbona kama ya kichawi? Kwa hizo sababu zako dhaifu umefeli
 
Kitendo cha mke wa David Kafulila kuita watu wa habari na kumkana mumewe hadharani kimenikwaza saaana. Jana nimeangalia taarifa ya habari kupitia azam TV mwanamke akimkana mumewe hadharani kimenisikitisha saana.

Bila hata kukurupuka angekaa na mumewe kujadili kabla ya kwenda kutafuta umaarufu kupitia wanahabari. Huu ni usaliti mkubwa sana hasa kwa wanandoa.

Haiwezekani hata siku moja eti mke anasema hakushirikishwa katika maamuzi hayo haiingii akilini hata siku moja.

Kama ningukua Kafulila hiyo ndio talaka yake mimi sina uvumilivu kiasi hicho. Najua mtakuja na mapovu kibao lakini ndio msimamo wangu.
Ampe talaka afu afe kwa njaa? Au hujui Kafulila anategemea jasho la mkewe kuishi?
 
Hao niwataftaji wzeuri tu. Wanajuana usiwaingilie. Wanajua wakifanyacho. Mda mrefu wako vyama tofauti. Hapo utakua umeshapata jibu
 
Mke wa Kafulila halikuwa hana namna zaidi ya kumkana mumewe ili kutetea uanachama wake wa chadema kwa lengo la kulinda Ubunge wake.

Unadhani angefanya nini ili kujibu maswali yaliyopo kwenye vichwa vya watu wengi?

Ubunge wa viti maalumu vimemfanya mke amkane mumewe katika kundi la waandishi wa habari kama ulinzi wake wa kisiasa katika chama chake cha chadema
Watu hawajui hivi sasa maisha ya Kafulila yako mikononi mwa mkewe...
 
Kitendo cha mke wa David Kafulila kuita watu wa habari na kumkana mumewe hadharani kimenikwaza saaana. Jana nimeangalia taarifa ya habari kupitia azam TV mwanamke akimkana mumewe hadharani kimenisikitisha saana.

Bila hata kukurupuka angekaa na mumewe kujadili kabla ya kwenda kutafuta umaarufu kupitia wanahabari. Huu ni usaliti mkubwa sana hasa kwa wanandoa.

Haiwezekani hata siku moja eti mke anasema hakushirikishwa katika maamuzi hayo haiingii akilini hata siku moja.

Kama ningukua Kafulila hiyo ndio talaka yake mimi sina uvumilivu kiasi hicho. Najua mtakuja na mapovu kibao lakini ndio msimamo wangu.
Unaandika pumba halafu unaanza kupiga MKWARA watu wasitoe MAPOVU. Hizo mila zenu za kibabe kwa wanawake mkajadiliane kwenye magroup yenu ya whatsaap.
Kama alichoongea huyo mama ni sahihi ( au amefanya maigizo kulinda mkate wake), je Kafulila hakuona haja ya kushauriana na mwenzie? Au ndo mfumo dume kwamba mwanaume hakosei, hivyo mwanamke alitakiwa apige magoti. Tunajuaje labda baada ya habari kuenea aliwasiliana na mmewe kumuuliza kulikoni anachosikia kwenye vyombo vya habari lakini mwanaume akawa na AKILI kama YAKO
 
Kitendo cha mke wa David Kafulila kuita watu wa habari na kumkana mumewe hadharani kimenikwaza saaana. Jana nimeangalia taarifa ya habari kupitia azam TV mwanamke akimkana mumewe hadharani kimenisikitisha saana.

Bila hata kukurupuka angekaa na mumewe kujadili kabla ya kwenda kutafuta umaarufu kupitia wanahabari. Huu ni usaliti mkubwa sana hasa kwa wanandoa.

Haiwezekani hata siku moja eti mke anasema hakushirikishwa katika maamuzi hayo haiingii akilini hata siku moja.

Kama ningukua Kafulila hiyo ndio talaka yake mimi sina uvumilivu kiasi hicho. Najua mtakuja na mapovu kibao lakini ndio msimamo wangu.
Uongozi wa jamiiforum ,jamani mbona mnatufanyia ukatili wadau wenu mkataba si kila mwanachama awe na umri wa kuzidi walau miaka 18 sasa huyu vigezo gani vilitumika .

Anyway we teenager ndoa huwa ni taasisi nzito sana haivujwi kijinga hivyo ,mke ni lazima ashirikishwe kwenye maamuzi yeyote makubwa ,na usipomshirikisha anahaki ya kulinda maamuzi yako yasihusiane na image yake ,mke wangu kesho anaibuka na kujiunga freemason ,cha kwanza ntakiri sikushirikishwa na ni maamuzi yake ,ila ndoa hususan ya kikristo huruhusiwi kumuacha bali kumbebembeleza kwa upole,upendo na uvumilivu huku kipaumbele ikiwa ni siraha ya sala na kufunga (bibilia yasema vita vyetu si vya damu na nyama bali vya kiroho) .Pili ndoa na siasa havihusiani kabisa
 
Kafulila ndiye kavunja mila na desturi za kijana wa kiume wa kiafrika, ingekuwa vitani na yeyey ni kamanda wa kikosi cha kwanza kisha akaamua kurudi nyuma alistahili kupewa zawadi ya shaba! Anastahili kufanyiwa tambiko la kuchinjiwa tumbili tatu wazee ambao wote ni wajane!
Umerudia maneno ya jpm siku anapokea ripot ya pili ya kinikia! na aliepaswa kula hizo shaba alizioga haswaa!

maisha yana maajabu kweli na maneno yanaumba nimeamini[emoji56] [emoji2]
 
Hao walioana wakiwa vyama tofauti kama sasa. Hakuna jipya hapo,hao wanajitambua!
 
Kitendo cha mke wa David Kafulila kuita watu wa habari na kumkana mumewe hadharani kimenikwaza saaana. Jana nimeangalia taarifa ya habari kupitia azam TV mwanamke akimkana mumewe hadharani kimenisikitisha saana.

Bila hata kukurupuka angekaa na mumewe kujadili kabla ya kwenda kutafuta umaarufu kupitia wanahabari. Huu ni usaliti mkubwa sana hasa kwa wanandoa.

Haiwezekani hata siku moja eti mke anasema hakushirikishwa katika maamuzi hayo haiingii akilini hata siku moja.

Kama ningukua Kafulila hiyo ndio talaka yake mimi sina uvumilivu kiasi hicho. Najua mtakuja na mapovu kibao lakini ndio msimamo wangu.

Unaweza kuukata mkono unaokulisha mkuu? Adui yako muombee njaa lazima atasalimu amri tu.
 
Back
Top Bottom