Kumbe alistahili? Hongera kwa ujuzi wako na wenzako kwa kukamilisha vyema kazi uliyotumwa kumwogesha uliyesema alistahili! Safari hii mmepanga kumwogesha nani tena?Umerudia maneno ya jpm siku anapokea ripot ya pili ya kinikia! na aliepaswa kula hizo shaba alizioga haswaa!
maisha yana maajabu kweli na maneno yanaumba nimeamini[emoji56] [emoji2]
Songela Zigizigi......Nimeongelea mila za Kinyiramba. Wewe mbojo mchawi eeh.
Kwani wana watoto?Kwa hiyo ahatarishe kibarua chake kisa kafulila akae kimya tu kisa kafulila je ccm wakimgeuka kafulila watoto watakula nini acha apambane na hali yake japo alikuwa anajua kila kitu ubunge raha
Mwanamke Roporopo
Umpe talaka kula utakula wapi wakati mama ndo mwenye kibarua? Au hizo hela ulizohongwa ndo zitakusukuma huku ukitafuta mwanamke mwingine wa kumuoa?Kitendo cha mke wa David Kafulila kuita watu wa habari na kumkana mumewe hadharani kimenikwaza saaana. Jana nimeangalia taarifa ya habari kupitia azam TV mwanamke akimkana mumewe hadharani kimenisikitisha saana.
Bila hata kukurupuka angekaa na mumewe kujadili kabla ya kwenda kutafuta umaarufu kupitia wanahabari. Huu ni usaliti mkubwa sana hasa kwa wanandoa.
Haiwezekani hata siku moja eti mke anasema hakushirikishwa katika maamuzi hayo haiingii akilini hata siku moja.
Kama ningukua Kafulila hiyo ndio talaka yake mimi sina uvumilivu kiasi hicho. Najua mtakuja na mapovu kibao lakini ndio msimamo wangu.
Nimependa post yako japo yenye maneno machacheWe utakiwa hujielewi usituletee Mila za kijinga msaliti hana Maana ikibidi amuache
Huu sasa umbea kuingilia ndoa za watu samahani ww ke au meMbunge wa viti Maalum kupitia Chadema Jesca Kishoa Kafulila amekiuka mila za kabila la wanyiramba Kwa kufanya utovu wa Nidhamu kujitokeza hadharani Kwenye TV na kumnanga mume wake David Kafulila.
Ni mwiko Kwa mila za Kinyiramba mtoto wa kike kujibizana na mume wako hadharani .Jesca ameenda Kwenye TV amekiuka mila na kosa hili mpaka afanyiwe Zindiko lá kondoo mweupe vinginevyo Ndoa yake itavunjika na hawezi kuolewa Tena maisha yake yote. Hiyo ni Laana amejipalia ama Kwa makusudi au kutojua au mhemko wa siasa.
Jesca Kishoa aliolewa na Kafulila wakati huo Kafulila akiwa NCCR MAGEUZI na Jesca Alikuwa ni CHADEMA. kwahiyo walioana wakiwa na itikadi tofauti.
Jesca nini kilichokupeleka Kwenye TV kushambulia mume wako? Wewe ni Msemaji wa Chadema taifa? Unatumwa na Wanasiasa kuharibu Ndoa yako? Kweli mwanamke mjinga huivunja Ndoa Kwa mikono yake mwenyewe.
Umekosea sana, umekiuka mila za Kinyiramba waziwazi, Njoo Kwa Wazee uombe radhi na Zindiko lá kondoo mweupe lifanyike haraka. Ukikataa kufuata Ushauri huu wa kimila Ndoa yako itavunjika na hutakaa uolewe maisha yako yote.
Songela Mbwanuwe!!!!!!
Kumbe ni mnyiramba!!Mbunge wa viti Maalum kupitia Chadema Jesca Kishoa Kafulila amekiuka mila za kabila la wanyiramba Kwa kufanya utovu wa Nidhamu kujitokeza hadharani Kwenye TV na kumnanga mume wake David Kafulila.