Simlaumu siasa ndivyo zilivyo ili ukubalike katika jamii(kisiasa) lazima kitu kizuri unachokifanya kiwe publicized kwa watu, mimi naweza nikatoa msaada nikawa kimya nikiamini Mungu anaona mema niyafanyayo lakini mwana siasa anataka watu wajue mema ayafanyayo, hebu jaribu kufikiria, Dr Slaa angepambana na mafisadi kimya kimya yaani angekuwa anapeleka malalamiko yake polisi kimya kimya leo hii mimi na wewe tungemfahamu kwamba ni mtu muhimu?Ni juma la pili sasa Mbunge wa viti Maalum kutoka Mbeya Dr.Mary Mwanjelwa akijaribu kutafuta "Media Attention"toka kwenye Runinga,Magazeti na sasa kwenye blogs juu ya michango anayotoa kwa jamii mara yupo Hospitali akitoa magodoro mara sijui anasalimiana na nani,mara anatembelea wafungwa hivi nini hasa anataka kutuonyesha kuwa yeye anajali sana jamii au anampango wa kujizolea umaarufu wa kisiasa ili aonekane anafaa kwa cheo fulani!Yatosha tu kujitolea kimya kimya sio mpaka uwe na misururu merefu pamoja na waandishi wa habari kila upitapo hebu tumia elimu yako vizuri na sio kujitafutia umaarufu kwa njia hii
Sio yeye tu. Lowassa, Maghufuli, Makamba Yusuph, JK, Kova,......, wote hawa hawana raha ya kuhutubia, kufanyakazi kama jamaa wa luninga hawako mbele yao. Yupo pia Zitto ambaye juzi aliandika magazeti mengi, akatembelea vituo vya redio vingi kuzungumzia ajali ya meli kule Zanzibar na jinsi TBC1 ilivyolishughulikia suala hili. Sasa hivi ni sema UONEKANE, USIKIKE na USOMEKE ati.Simlaumu siasa ndivyo zilivyo ili ukubalike katika jamii(kisiasa) lazima kitu kizuri unachokifanya kiwe publicized kwa watu, mimi naweza nikatoa msaada nikawa kimya nikiamini Mungu anaona mema niyafanyayo lakini mwana siasa anataka watu wajue mema ayafanyayo, hebu jaribu kufikiria, Dr Slaa angepambana na mafisadi kimya kimya yaani angekuwa anapeleka malalamiko yake polisi kimya kimya leo hii mimi na wewe tungemfahamu kwamba ni mtu muhimu?
Si ndiyo yule mwizi wa mataulo ya Hotel kule Arusha?
sex worker
Si ndiyo yule mwizi wa mataulo ya Hotel kule Arusha?
anatoka chama cha majambazi na yeye ni mwizi maarufu wa mataulo na maua mahotelinijamani wengine hatumjui, anatoka chama gani?
Mnamwonea. Ni mahakama pekee yenye mamlaka kusema mtu ni mwizi. Kwa kweli kwa wamama wa viti maalum ni mmoja wa wanaoonekana wapo.anatoka chama cha majambazi na yeye ni mwizi maarufu wa mataulo na maua mahotelini
Huyo ndiyo mgombea wa ccm mwaka 2015 jimbo la mbeye mjini.....haya unayoyaona ni maandalizi tu.Ni juma la pili sasa Mbunge wa viti Maalum kutoka Mbeya Dr.Mary Mwanjelwa akijaribu kutafuta "Media Attention"toka kwenye Runinga,Magazeti na sasa kwenye blogs juu ya michango anayotoa kwa jamii mara yupo Hospitali akitoa magodoro mara sijui anasalimiana na nani,mara anatembelea wafungwa hivi nini hasa anataka kutuonyesha kuwa yeye anajali sana jamii au anampango wa kujizolea umaarufu wa kisiasa ili aonekane anafaa kwa cheo fulani!Yatosha tu kujitolea kimya kimya sio mpaka uwe na misururu merefu pamoja na waandishi wa habari kila upitapo hebu tumia elimu yako vizuri na sio kujitafutia umaarufu kwa njia hii