Mbunge huyu anamwakilisha nani?

Lakini Pindi Chana hawajavunja sheria yoyote wala kukiuka maadili ya kazi yake kama mbunge. Zamani sana tulikuwa na maadili ya viongozi, wenzetu wanaita "leadership code of conduct" au "leadership ethics." leo hii hakuna kitu cha namna hiyo, kwa hivyo Pindi ana haki ya kuuliza swali hilo bila wasiwasi wowote.
Mkuu tatizo hapa ni kuomba apewe hicho kibali hapo wakati anachangia. Wabunge wanawawakilisha wananchi sasa akiensa kujiombea tena inakuwaje? Wenzake ambao wako katika biashara hiyo lakini si wabunge wana fursa ya kufika hapo na kumkomalia ama kumkumbusha juu ya maombi yao? Angeishia tu ku declare kwamba naye ni mdau katika hiyo biashara basi.
 
Mbona nasikia mnamtayarisha kuwa mbunge wa Ludewa badala ya FILIKUNJOMBE?
Kabipi, nimelipenda swali lako, "mbunge huyu anamwakilisha nani?". Hili ni swali ambalo na sisi huku ludewa tumekuwa tukijiuliza. Pindi Hazara Chana, si jina la ludewa. Tutamuuliza ilikuwaje TBL wampe shs mil 15 na yeye akafikisha ludewa tshs mil 10 pekee? Huyu dada anatuibia sana wanacnhi wa ludewa akijifanya yeye ni mzaliwa wa huku. Majibu atayapata. Sijui atagawa ile 'dudu' yake ya kati kwa watu wangapi?

Huyu pindi chana, aliolewa na dr. Norman sigala na ameachika kwa sababu ya uchawi. Mumewe anasema Pindi chana ni mshirikina ile balaa na kwamba pinndi chana kila anapokuwa mle kwenye mkoba wake anatembea na nyoka, urithi toka kwa mama yake. Ukitaka kujua habari za huyu singa singa muulize dr. Norman sigala. Atakuoa full mkanda. Labda anawawakilisha hao washirikina wenzake mle bungeni.

Pindi chana kwa kushindwa kujua anamwakilisha nani kule bungeni amekuwa anakuja sana ludewa siku za hivi karibuni. Tunamwonea huruma sana na hizo kalenda zake anazozigawa LEO. Alikuwa Kwanza mbunge wa vm iringa, akaja kuwa mbunge vm njombe, leo yupo vm ludewa. Kesho sijui atakuwa mbunge vm Punjab!
 
Mi sjaikubali hiyo ya kumtetea mbunge anayetumia nafas adimu bungen, kutetea maslah yake binafs! Labda niulize, 'mbunge ni nani'?!
Nafkr hilo ni miongon mwa dalil kuu za 'umagamba' thus why wote tunatakiwa tuungane kumngoa, vp kuhusu wale manesi kwenye jimbo lake, ameshawasemea?Wanafunz wanaokaa chn je?Ukosef wa maj saf na salama je?Jaman, tubadlke na tujfunze kuwa kiongoz s kwa maslah bnafs, haya mashndano ya kuwa matajr kupitia migongo ya vyeo vya kijamii yafkie mwisho!Tunazd kuunganisha nguvu ili 'wachumia tumbo' wote mwisho wao uwe 2015!

MUNGU ibark TANGANYIKA..
Nawakilsha.
 
Usiwe mvivu wa kufikiri na kutenda; double click hiyo link ya website ya bunge na utaona inafunguka uisome live bila chenga. Kama huna adobe pdf reader, download au nitumie PM nikurushie adobe pdf professional upate vya bure!!!

Hukumuelewa huyu jamaa. Lile jibu lilikuwa ni kejeli kwa member mmoja anayejiona ana matege ya macho.
 
Mbona nasikia mnamtayarisha kuwa mbunge wa Ludewa badala ya FILIKUNJOMBE?

Pindi Hazara Chana kugombea ubunge ludewa vsv Deo Filikunjombe; ni sawa na kulinganisha mlima meru na mlima Everest. Huku Ludewa, Filikunjombe (kwa kuweka maslahi ya wana ludewa mbele) atatawala na atakuwa mbunge mpaka atakapoamua yeye mwenyewe kuacha, Pindi Chana analijua hilo.
 
Imagine wabunge wote wakaiga hiyo tabia ya Ndugu mbunge wetu!!
Siombei hilo litokee.
 
Back
Top Bottom