Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,567
Wana jf wenzangu, tuwe objective japo kidogo.
Mhe. Pindi Chana ni Mtanzania, anaruhusiwa kufanya biashara yoyote kama Mtanzania mwingine yoyote.
Tena inabidi yeye awe ni mtu wa kupongezwa kwa kuwa open na kuomba vibali vya kufanya biashara halali kuliko wale wamiliki wa mabasi 8 ya Youtong au wamiliki wa biashara kubwa lukuki kwa majina ya watoto wao na wakwe zao!.
Hivi kufanya biashara inaonekana kama ni dhambi?. Si afadhali umeisikia hiyo lobbying ya kibali cha kuvuna msitu wa Sao Hill kwa Mh. Pindi Chana akiisema wazi, wazi, jee ungejua Mzindakaya amefanya lobbying gani, anamiliki vitalu vingapi vya uwindaji, na ni mbia wa hisa ngapi katika miradi mikubwa mikubwa ya uwekezaji, ungesema nini wewe?.
Hivi unataarifa kuna eneo Bagamoyo limetengwa kama special EPZ, si tulimlaumu sana Mkapa kwa kufanya biashara ikulu!. Sasa subirini wenye zamu zao za ikulu zikiisha mshuhudie vitegauchumi wanavyomiliki au kwa majina yao, ya watoto wao na jamaa zao!.
Binafsi namkubali sasa huyu mama na nampongeza kwa kuwa muwazi zaidi, pia kwa vile ni mwanasheria, pia namshauri aka fanye petition, awe mshauri, mtamlipa zaidi kuliko kupasua mbao na kututeketezea mazingira yetu!.