mbunge fulani na utandawazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mbunge fulani na utandawazi

Discussion in 'Jamii Photos' started by wakumbuli, Mar 14, 2012.

 1. w

  wakumbuli Senior Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hivi wajameni ,habari zenu,juzi kwenye kipindi fulani hivi niliangalia eatv nikaona Mh Mbunge wa Bumbuli akioshwa kichwa je waungwana ni halali au ndio utandawazi wenyewe,na je ndio kusema mkewe yuko bizy kiasi cha kumhudumia mumewe,au je ni ni kweli ameshindwa hata kukata kucha
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Makosa yako wapi kama ni huduma amepewa offer na wananchi au amelipia kwa kinyozi.
   
 3. P

  Pelege Senior Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu ni shoga mbona anajulikana,uliza uwambiwe aliyokuwa anayafanya Sumbawanga alipokuwa anafanya kazi baada ya kutoka Kigoma
   
 4. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama mada ina hadhi ya kujadiliwa hapa
   
Loading...