Mbunge Ester Matiko apata ajali mbaya akitoka kumjulia hali Mhere Mwita, mmoja afariki

Hivi tochi za mapolisi huwa hazipo usiku??? maana hakuna jibu zaidi ya mwendo kasi ....baada ya ujio wa tochi mchana ajali zimepungua sana na madereva wanaendesha kwa adabu lakini usiku ni "fungulia dog" matokeo yake ndio haya
HAZIONI USIKU NDO MAANA
 
Tofautisha BUNDA na TARIME MJINI,

Tofautisha Ester Matiko na Ester Bulaya.
One thing about mkoa wa Mara ni mkoa ambao mfumo dume umeshamiri balaa what interest me ni kuwa na wabunge wengi wanawake this is a prime area to conduct a research basing on these facts....All in all poleni wahanga RIP marehemu
 
Bora angepona daktari!!
R.I.P Doctor!!
Siku akifa chizi mtaani unakoishi kuna ambao watasema bora angekufa Joselela jua kila kitu kinawezekana.next time angalia mdomo wako usimpangie Mungu yupi sahihi wa kumchukua kwani kwake wewe ni kapuku mmoja tu asiyejitambua.
 
Pole muheshimiwa na kwa wafiwa.Ungekuwa mtu wa Mbowe saa hizi umeshatumiwa ndege ya kukuleta MoI
 
Mungu anisamehe kwa hili ninalotaka kulisema 1. Sugu alipomgonga na kusababisha kifo cha yule binti kule Mbeya wanahabari hasa ITV walisikika wakisema "Mbunge anusurika", 2. Sasa hii ya Matiko , amemgonga Daktari na kumsababishia kifo, bado inaitwa kanusurika! Watanzania ni watu wanaopendana , bila kujali rangi, itikadi, na kabila.
Na wewe kuwa chadema wakupende ..
 
pole kwa familia ya wafiwa ma mbunge aliyepata majeruhi...
sipat pcha angekuwa ni mbunge wa lumumba ndo kasababsha ajali..
 
kweli kila linalokuja ni pole kwa Mbunge tu, Hamjui kuna Dr karestishwa in peace hapo. Hilo hamlioni? kwanini msihoji chanzo cha ajali hadi kupelekea kifo kwa mtumishi huyu mhimu kwa Taifa na watu wa Magu?
 
Watu Wa.ngese kweli kila linalokuja ni pole kwa Mbunge tu, Hamjui kuna Dr karestishwa in peace hapo. Hilo hamlioni? kwanini msihoji chanzo cha ajali hadi kupelekea kifo kwa mtumishi huyu mhimu kwa Taifa na watu wa Magu?
Siasa zimewafanya watu kukosa utu kabisa na kuthamin walio upande wao pekee
 
POLISI WAMEKUSAIDIA- HAWA POLISI CCM, MNAOWATUKANAGA KILA SIKU NA KUWAITA M------A WA CCM? MJITATAFAKARI
Lililo jema linasemwa na kusifiwa kwa wakati wake na baya pia linasemwa kwa wakati wake hivyo wanapo kosea wataambiwa na kukosolewa na wanapo fanya vizuri watasifiwa na wanapo hitajika watatumika na yawapasa kutumika maana wao ni askari wa taifa tatizo ni pale wanapo tumika kinyume na majukumu yao halisi , na hilo la kutumika kinyume na majukumu yao halizuii kuwahitaji pale wanapo hitajika.
 
Siku akifa chizi mtaani unakoishi kuna ambao watasema bora angekufa jua kila kitu kinawezekana.next time angalia mdomo wako usimpangie Mungu yupi sahihi wa kumchukua kwani kwake wewe ni kapuku mmoja tu asiyejitambua.
Ahsante kwa povu...
Na uache kumsingiza mungu kila kitu...
Vingine uzembe wenu tu!!!
Mungu akusamehe kwa kweli aiseee!!
Pole!
 
Back
Top Bottom