evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,988
- 9,946
Huyu pamoja na rushwa ya kutisha aliyotoa kakataliwa kwaoHuyu mbunge mjinga mpumbavu wa buchosa baada ya kuona ma post yake ya kijingajinga yanajibiwa huko Instagram kaamua kufunga kabisa na koment.
Watu wa buchosa inabidi mumfundishe adabu huyu mjinga aliyewazarau kwa kusema eti kuwatimiza ahadi ya kuwaletea tshirt
Huyo si ndiye Mzuri lakini?Huyu pamoja na rushwa ya kutisha aliyotoa kakataliwa kwao
Takwimu zinaonyesha kwamba ndio mbunge anayeongoza kwa rushwa hadi sasa
Nilihaidi T-shirt, nimeleta sijaleta!? NO REFORMS, NO ELECTION.Huyu mbunge Buchosa baada ya kuona ma post yake ya kijingajinga yanajibiwa huko Instagram kaamua kufunga kabisa na koment.
Watu wa Buchosa inabidi mumfundishe adabu huyu aliyewazarau kwa kusema eti kuwatimiza ahadi ya kuwaletea tshirt
Hela zenyewe elfu moja moja? Wasukuma tujitafakari sana!Huyo si ndiye Mzuri lakini?
Unadhani pesa za serikali wengine tutazipataje ikiwa hawatazitema wao?
Bora huyo kuliko Tale Tale anayegawa kanga pekee, sisi wanaume hatupati kitu.
Ukipata shukuru, Pesa yenyewe haina receipt, na Siyo Lazima umpigie Kura. Kura yako unabaki nayo.Hela zenyewe elfu moja moja? Wasukuma tujitafakari sana!
If you mean no malice to nobody, then you mean some malice to everybody.I mean no malice to nobody
NRNEHuyu mbunge Buchosa baada ya kuona ma post yake ya kijingajinga yanajibiwa huko Instagram kaamua kufunga kabisa na koment.
Watu wa Buchosa inabidi mumfundishe adabu huyu aliyewazarau kwa kusema eti kuwatimiza ahadi ya kuwaletea tshirt
HahahahHela zenyewe elfu moja moja? Wasukuma tujitafakari sana!
Jamaniii! Kiingereza kigumu aisee!I mean no malice to nobody
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shigongo first class wa Tumaini asiye na cheti cha form foooo
I used to, but I figured out I'm more than a lethal weapon.If you mean no malice to nobody, then you mean some malice to everybody.
I am talking about the double negative and logical implication.I used to, but I figured out I'm more than a lethal weapon.
so I should probably wish for peace, rather than cutting a piece.