Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,429
Mkuu huyo mbunge ana lake jambo, Magufuli aliomba kuombewa, kila mtu na Mungu wake, maombi yakasikika! Jamaa akapandishwa cheo cha malaika msimamizi!Mbunge Cherehani: Tusiache Kumuombea Rais Samia
Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani amewahimiza waumini wa dini zote kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassa ili kumpa nguvu zaidi katika kuwatumikia watanzania
Wito huo umetolewa katika misa takatifu ya mkesha wa sikukuu ya Krismas iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu Yohane Parokia ya Mpunze ambapo amesema ,Rais anafanya kazi kubwa kwa wananchi hivyo ni vyema kumuombea
“Ndugu zangu nawaomba tuendelee kumuombea Rais wetu anafanya kazi kubwa ya kuijenha nchi yeti,tazamq fedha nyingi anazotoa kwenye Afya,Maji,Elimu na Barabara na Fedha nyingi kwaajili ya kukamilisha miradi ya maendeleo.” - Mhe Cherehani
Huyo ccm wengi mna tatizo la afya ya akiliMbunge Cherehani: Tusiache Kumuombea Rais Samia
Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani amewahimiza waumini wa dini zote kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassa ili kumpa nguvu zaidi katika kuwatumikia watanzania
Wito huo umetolewa katika misa takatifu ya mkesha wa sikukuu ya Krismas iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu Yohane Parokia ya Mpunze ambapo amesema ,Rais anafanya kazi kubwa kwa wananchi hivyo ni vyema kumuombea
“Ndugu zangu nawaomba tuendelee kumuombea Rais wetu anafanya kazi kubwa ya kuijenha nchi yeti,tazamq fedha nyingi anazotoa kwenye Afya,Maji,Elimu na Barabara na Fedha nyingi kwaajili ya kukamilisha miradi ya maendeleo.” - Mhe Cherehani
Hili libunge ni jinga sana, linaungana na wahuni kuubia wakulima, yaani Kwndikwa alikuwa best, na mipiga kura ya huko sijui waliwezaje kuchagua jitu jizi, huni, halina akili, halina hekima, chawi, naamini CCM 2025 hawatafanya kosa kulirudisha hili jingaMbunge Cherehani: Tusiache Kumuombea Rais Samia
Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani amewahimiza waumini wa dini zote kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassa ili kumpa nguvu zaidi katika kuwatumikia watanzania
Wito huo umetolewa katika misa takatifu ya mkesha wa sikukuu ya Krismas iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu Yohane Parokia ya Mpunze ambapo amesema ,Rais anafanya kazi kubwa kwa wananchi hivyo ni vyema kumuombea
“Ndugu zangu nawaomba tuendelee kumuombea Rais wetu anafanya kazi kubwa ya kuijenha nchi yeti,tazamq fedha nyingi anazotoa kwenye Afya,Maji,Elimu na Barabara na Fedha nyingi kwaajili ya kukamilisha miradi ya maendeleo.” - Mhe Cherehani
"...fedha nyingi anazotoa..." malizia "toka mfukoni... nk"Mbunge Cherehani: Tusiache Kumuombea Rais Samia