Vipi Yale maandamano yake ya Jana ?Hoja nzito hizi. Sijui Mh. Kigwangala anasimama upande gani, kwenye chama au kwa walala puu?!
Vipi Yale maandamano yake ya Jana ?
Wabunge wa CCM hawaigopi serikali yao, sasa naona wanaamua kuwa wakeli... Hii ni sababu ya CHADEMA?
Ni Vizuri sababu tutaona usawa na ukweli wa bajeti zetu sasa
Huwa sina imani sanaa na wabunge wa CCM.
Ni waongeaji wazuri sana, lakini ikifikia hatua ya utekelezaji ndo utaona TRUE COLOUR zao. Kumbuka hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu.. Kila mmoja ana hofia kutofautiana na msimamo wa chama.
Na ndiyo maana hali ikifika hapo, kila mmoja anahofia au kutaja habari ya kufukuzwa uanachama...
NAUNGA MKONO HOJA YA MGOMBEA BINAFSI.
janja ya nyani
mm naomba kujua kwann kila mbunge wa ccm anayetaka kutetea watz lazima atangulize neno yuko tayari kufukuzwa uanachama. Je, ccm haipendi wabunge wake wakemee maovu au wabunge wenyewe ni waoga tu? Msaada jamani.
Ni mtu jasiri.
Mapinduzi safi na imara yatatoka ndani ya sisiemu