Mbunge CCM: Bajeti si yenyewe imechakachuliwa

Jicho langu,sikio langu ni kusubiri kwenye mijadala je atazungumzia hilo? Au ndiyo yale mambo ya kujipigia chapuo ili wananchi wakupitishe 2015? Wabunge mkae mkijua wananchi wanahifadhi kumbukumbu zenu, nyoka hata akizeeka hawezi kuwa jongoo, nyie ni wezi,mafisadi n.k hatuitaki ccm
 
Mnafiki sana huyo. Je alisaini kwenye daftari la Zitto? Huku wilayani kuna mkakati wa kumtosa mwaka 2015. Kamati ya siasa ameshatofautiana nayo hivyo sasa hivi anajidai kelele hapo ili makamanda wamkubali! Mchumia tumbo huyo. Magamba wanampango wa kumsimamisha bw. m1 anaitwa Nyanvenve, hiyo huyu kasoma alama za nyakati. Bahati mbaya kwake huku kwetu kuna taarifa ambazo bado ziko under the carpet kuwa mpinzani wake wa 2010 kwenye kura za maoni (Masanja) ameshawahi kwa makamanda! ngoja tusubiri.
 
Mwongo mkubwa huyo. Hivi yule mbunge mpokea rushwa bunge liliamua nini? Au u mwenzetu!
 
Aache uongo, tangu wote mzaliwe ni lini mmeawahi sikia budget kuu ikagomewa. Mlishaambiwa na spika kwamba hiyo kitu haiwezekani. Nawahakikishia, watarap sana, watapinga sana huku wakiunga kwa 100%. mwisho tutaambulia mayowe ya ndiyoooooooooooooooooooooooooooooo. Nani asiye juwa unafiki wa magamba.
umesema ukweli mkuu wabunge walio wengi wapo kama mbuzi wa kafara anapopepkwa kuchijnwa anapiga makele na kukukuruka lakini badae anakaa kimya kukikubali kisu, ndivo nao walivo wakati wa kuchangia utaona namna povu linawatoka ila mwisho ndiyooooooooooooooooooo!!
 
Mnafiki sana huyo. Je alisaini kwenye daftari la Zitto? Huku wilayani kuna mkakati wa kumtosa mwaka 2015. Kamati ya siasa ameshatofautiana nayo hivyo sasa hivi anajidai kelele hapo ili makamanda wamkubali! Mchumia tumbo huyo. Magamba wanampango wa kumsimamisha bw. m1 anaitwa Nyanvenve, hiyo huyu kasoma alama za nyakati. Bahati mbaya kwake huku kwetu kuna taarifa ambazo bado ziko under the carpet kuwa mpinzani wake wa 2010 kwenye kura za maoni (Masanja) ameshawahi kwa makamanda! ngoja tusubiri.

So many issues are going on now
 
MH Mpina kaza buti na usiwe na hofu ccm siyo waajili wako, waajili wako ni sisi wananchi ndo tunamaamuzi ya wewe kuendelea kuitwa Mbunge au la! Lakini kwa sitahili hii wewe utakuwa Mh Mbunge hata ukitoka ccm na huku utakapokuwa ndo panakufaa.
 
Hata ukimuweka mtu ambae yupo makini kiasi gani., kama yupo kwenye chama cha majambazi a.k.a CCM ni uharo mtupu..! Waache wajichotee tu ila mwisho wao 2015. Tufanye maamuz yaliyo sahihi..
 
Miaka yote bajeti zimekuwa mbovu. Hawa akina Mpina walikuwa wanapozwa na Jairo... Mwaka huu hakuna Jairo wanajifanya wazalendo... Nyambaaaaf.
 
Hizi ni kelele tu, mwisho wa siku bajeti itapitishwa kwa mbwembwe.....mtaona!
 
Back
Top Bottom