Hii ni kutokana na sababu zifuatazo.
1.Amesimama kidete katika kupinga bajeti legelege ya 2012/2013 isiyokidhi matakwa ya wanyonge bila kujali kuwa yeye ni wa chama tawala tofauti na wabunge wengine wa ccm.
2 .Amejitahidi kusimamia matumizi mazuri ya jimbo na wilaya yake ikiwemo kufuatilia kiufanisi mapato na matumizi ya fedha za serikali katika miradi.Mfano ujenz wa chumba cha kuhfadhia maiti wilayani hapo.
3.Ameweza kufuatilia suala zima la migogoro ya ardhi na mipaka ya hifadhi za wanyama hasa katka maeneo ya makao,sungu,irambandogo na maswa game reserves.
4.Ameshughulikia kikamilifu suala la kuchimba visima na kuvuta umeme katka jimbo lake. Mfano pale mwandoya.
5.Ameimarisha ulinzi wa mali na wananch wake kwa kutumia njia ya ulinzi shirikishi.
6.Ni mtu wa watu anasikiliZA wananch wake.
Na mengne mengi, Anastahili pongezi.