Mbunge Busanda apata wakati mgumu

Mkuu, soma post no. 17!, interest zimekuwa declared!, ila kwa mtu humble na down to earth kama huyu mama, kufanya ufedhuli huo, this is uncalled for!.

Pasco
 
Mkuu, soma post no. 17!, interest zimekuwa declared!, ila kwa mtu humble na down to earth kama huyu mama, kufanya ufedhuli huo, this is uncalled for!.

Pasco
hata Philip Mangula mlisema ni descent, ni mzee wa usharika n.k lakini mwisho wa siku amekutwa kwenye tuhuma ya kutaka kumuua Dr. Slaa na mpaka leo hajawahi kujitokeza kupinga taarifa hiyo pamoja ya taarifa za miamala ya fedha kutoka kwa Mangula kwenda kwa muuaji inayesemekana amemuajiri.
Nakushauri dont judge the book by its cover.
usirudie tena kosa hilo Pasco
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mkuu Pasco kwa kuonyesha uungwana. Ktk kundi la wasukuma wenye tabia ulizotaja,mume wa huyu mama anaongoza! Ndo maana sijashangaa ktk hili tukio kufanywa na mke wake. Mke wake kweli ni mpole sana,na hakuwahi kufanya siasa mpaka alipoteuliwa kuwa mbunge jambo ambalo pia lilitustua wengi! Lkn kilichoniogopesha zaidi ni kwa huyu bwana kuteuliwa ubunge ktk bunge la katiba tena akiwakilisha wafugaji! Anyway ngoja niliache hili kwakuwa siyo mahali pake .
 
Last edited by a moderator:
tujuavyo sisi kina gogo la shamba ngome ya ccm kwa sasa ni chalinze peke yake
 

Kweli Jf siku hizi majanga .....acheni siasa za kusemekana kama wamegundua miamala ya malipo basi rahisi kumjua ndio yale ya video ya mabomu ya arusha mpaka leo watu wanaisubiri
 
Last edited by a moderator:
Kweli Jf siku hizi majanga .....acheni siasa za kusemekana kama wamegundua miamala ya malipo basi rahisi kumjua ndio yale ya video ya mabomu ya arusha mpaka leo watu wanaisubiri

nimefanya citation kwenye taarifa kutoka kwa kamanda Kova kwenda kwa wana habari.
sumbueni akili kidogo ku-reason kabla hamjaingia kwenye mijadala.
 

Mkuu Leo nimeelewa,Nina rafiki yangu DFA taasisi ya serikali,jamaa ana mtindo huo,kutoa mabunda ya pesa na kuyaweka juu ya meza,akitaka kulipa kitu,au kumpa mtu
 
Mkuu, magode asante tena kwa hii, mimi nilihudhuria kampeni za Busanda mwanzo mwisho, kiukweli huyu mama ni mnyenyekevu mno na sio politician, mwanzo aliupata ubunge kwa kubebwa sana na chama, mara pili aliupata ubunge kwa upole na unyenyekevu wake, uliompatio kura za huruma tuu!.

Kule bungeni kwa kweli ana heshima sana, ni mpole na mnyenyekevu sana na asiye na makuu!, kwa uzuri wake, sura, nywele, shape, rangi, guu, hivyo kwa vyovyote vile iwe isiwe atakuwa ni 'target!', sasa unaponijulisha kumbe mumewe alizawadiwa ujumbe wa Bunge la Katiba!, then nimeisha jumlisha mbili na mbili!, akifanikiwa kutetea jimbo lake, mshishangae bunge lijali ni naibu waziri kisha waziri kamili!. Ukijaaliwa ndani ya CCM, kama alivyojaaliwa, mambo yako yanakuwa super, wewe utapeta tuu!.

Bwana asifiwe kwa uumbaji, na ikitokea ukawa huna roho mbaya!, kila kitu kitakunyookea!. Kuna wabunge kibao na haswa wale wa viti maalum, wako bungeni kwa kazi maalum na ni mara chache sana kuwasikia wakichangia!.

Pasco

, magode

asante
magode
 
Kila mbunge atavuna alichopanda kwa miaka 5 ya utumishi wake
 
Ha haa haaa Pasco umeamua kupasua jipu!? Me huko sipo tena,lkn ulichokisema ndo hali halisi kwa anayeifahamu hii familia atakuwa anajua tunachomaanisha hapa. Unajua yule Dada anazo sifa zote za kuitwa mwanamke! Mrembo kwa sura,mpole,nidhamu,mcheshi na ujinga amefuta! Ngoja niishie hapa.
 
Last edited by a moderator:
Pasco anataka kutuaminisha kuwa ubora wa kitabu unaonekana kwa cover yake?? Kabla ya kumpinga mleta thread ungetumia taaluma yako kupata uhakika na kutuambia ukweli wa tukio hili ni upi. Umeamua tu kutumia historia ya mhusika bila kujua kuwa kwenye siasa watu wanajitahidi kufanya mambo kulingana na wakati.
 
Mkuu magode, kiukwemu Mungu amemjaalia!, ila pia si unawajua tena wazee wetu udhaifu wao?!, ukiona hapati kabisa more and more promotion na vi trips lukuki ujue kasimama wima na kugoma kukaa mguu upande na hiyo ndio salama ya jamaa yako, ila hili ya jamaa kuteuliwa kwenye BMK, naona kama ni asante fulani hivi!.

Pasco
 

unachosema mkuu ni kweli. huyu mama ni zaidi ya polite and decent. juzi nilikuwa sehemu moja Bukoli na yeye alikuwa katika ziara zake , Bahati nzuri wakati napita zangu kuna mama ambaye ni rafiki yake akaniita , kwakweli huyu mbunge Hana majivuno, niliongea nae mambo mengi Sana. na kuhusu kuzomewa hili nalo linawezekana kweli lilitokea huko nyaruyeye, kwani hiyo Siku nilisikia watu wakilalamika kuwa mbunge amewatelekeza, hajawahi kuja kufanya mkutano na vijana, wazee na kina mama. hiki ndo walichokuwa wanalalamikia wanachama wa kata ya Bukoli.
 
Mkuu Papaa Azonto, naomba unisaidie kutoka kwa hao uliowasikia, jee mbunge alirusha noti za elifu kumi kumi ili watu wagombanie ndipo apate upenyo wa kutoroka?!.

Pasco
 
Alipokuwa katika kijiji cha bugogo, kata ya Bukoli. Hapa alikuwa anaongea na wanachama na baadhi ya viongozi. Hakutupa hela ili apate upenyo wa kuondoka, la asha alimaliza mkutano na wanachama pamoja na viongozi kisha akaondoka zake. Na Mimi nikaondoka zangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…