Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,960
- 954
atakuwa viti maalum kama siyo basi ni.......
Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa
Mbunge Angelina Malembeka amesema kwa mtazamo wake mavazi anayovaa Rais Samia Suluhu Hassan yanatosha kuwa vazi la Taifa kwani yana stara, ustaarabu, heshima na unadhifu.
Angelina ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akichangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo.
Amesema katika kulitafuta vazi la Taifa kinachotakiwa kuzingatiwa ni kuhakikisha linapatikana vazi lenye stara, ustaarabu, heshima, linaloonesha unadhifu na linaloweza kuvaliwa na yeyote.
Da! Aisee🤣Eee! Mungu hili Taifa tumekukosea nini.
Kwamba tunaviongozi wapumbavu kiasi hichi watu hatuna umeme yapayapo yanachekena kama mzuzu tu hapo bungeni.
Aisee. Unaweza kuongea ukaonekana hufai kumbe.
Aloo 🤣🤣🤣Imagine Dr. Mwigulu nchemba au Bashite au Nape akiwa ndani ya vazi Mama kizimkazi, aloo. Ila hii nchi ina viongozi wapumbavu sana, nchi ipo kwenye mgogoro wa upatikani wa huduma za msingi eti wanajadili vazi la taifa, Yaani mwaka 2024 nchi zinajadili maendeleo ya mapinduzi ya 4 ya viwanda same time viongozi wetu wanoshinda wakizurura nchi za watu kuomba misaada ya kujenga mashimo ya vyoo wao wanajadili kuongeza ndege za kuhudumia viongozi na kubuni vazi la Taifa. WTF is this???!! alafu unakutana na kima anasema viongozi wanachaguliwa na mungu. shen type
Hii ni nchi, ila tunatawaliwa na Zero Brain Leaders.Uraia pacha ni muhimu...hii sio nchi!
Kama raia wamekaa kikondoo na wanajadili Simba na Yanga sasa watu wanataka wanategemea nini? Utavuna ulichopanda. Nchi haiwezi kuwa raia wajinga wajinga halafu viongozi waache kujadili ujinga ujinga.atakuwa viti maalum kama siyo basi ni.......
we ni bora ungezaliwa kima tu, kwa akili yako Rais wa Ujerumani alikuja kuomba nini huku kwetu, na Je yule wa Indonesia mwaka jana alikuja kuomba chakula? Na wa Hungary je? Siwezi kuwataja wote maana we siyo binadamu. Na je makamu wa rais wa Marekani? Mkizaliwa mpumbavu utazeeka na upumbavu wako.Imagine Dr. Mwigulu nchemba au Bashite au Nape akiwa ndani ya vazi Mama kizimkazi, aloo. Ila hii nchi ina viongozi wapumbavu sana, nchi ipo kwenye mgogoro wa upatikani wa huduma za msingi eti wanajadili vazi la taifa, Yaani mwaka 2024 nchi zinajadili maendeleo ya mapinduzi ya 4 ya viwanda same time viongozi wetu wanoshinda wakizurura nchi za watu kuomba misaada ya kujenga mashimo ya vyoo wao wanajadili kuongeza ndege za kuhudumia viongozi na kubuni vazi la Taifa. WTF is this???!! alafu unakutana na kima anasema viongozi wanachaguliwa na mungu. shen type
Waliowekwa na zero brain wananchiHii ni nchi, ila tunatawaliwa na Zero Brain Leaders.
Wakati watu wakienda kuacha kinyesi chooni kumbe wengine huwa mnakwenda kukipakua na kukijaza kichwani. Interestingwe ni bora ungezaliwa kima tu, kwa akili yako Rais wa Ujerumani alikuja kuomba nini huku kwetu, na Je yule wa Indonesia mwaka jana alikuja kuomba chakula? Na wa Hungary je? Siwezi kuwataja wote maana we siyo binadamu. Na je makamu wa rais wa Marekani? Mkizaliwa mpumbavu utazeeka na upumbavu wako.
Kujisokotea kwenye baibui lenye joto hivyo hap mjini sio poa, ni afadhali rubega la kimasai.
Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa
Mbunge Angelina Malembeka amesema kwa mtazamo wake mavazi anayovaa Rais Samia Suluhu Hassan yanatosha kuwa vazi la Taifa kwani yana stara, ustaarabu, heshima na unadhifu.
Angelina ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akichangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo.
Amesema katika kulitafuta vazi la Taifa kinachotakiwa kuzingatiwa ni kuhakikisha linapatikana vazi lenye stara, ustaarabu, heshima, linaloonesha unadhifu na linaloweza kuvaliwa na yeyote.
View attachment 2903710
Kama raia wamekaa kikondoo na wanajadili Simba na Yanga sasa watu wanataka wanategemea nini? Utavuna ulichopanda. Nchi haiwezi kuwa raia wajinga wajinga halafu viongozi waache kujadili ujinga ujinga.