Mbunge Ally Kessy: Road licence ihamishiwe kwenye mafuta(petrol & diesel)

Sawa lakini kama alivyojibu jamaa kuna mitambo amabayo hutumia mafuta pia na haina uhusiano wowote na barabara
Hapo ndio wataalam wetu tutawahitaji watutengenezee mfumo mzuri wa kutowaumiza moja kwa moja wasiotumia barabara kwa shughuli zao za kila siku kwa kuwa hiyo tozo inahusu watumia barabara
 
Kutakuwa na vituo vya aina mbili. Vtuo vya mafuta vya wenye vyombo vya moto (gari,pkpk nk), Na vituo vya mafuta kwa ajili ya majenereta na vifaa vingine visivyotembea baraabarani????
Je utajuaje kama mafuta nayonunua yanaenda kwenye izo generator na si kwenye gir?
 
Mi kwa mawazo yangu binafsi Road licence iwekwe kwenye mafuta maana shiling moja ikiongezwa sio mbaya hata hutaihisi lakini ngoja ishe halafu unafaa ulipe school fee sijui unamarejesho bank na huku Road licence inakusubiri , insurance bado. Ndio utakapo juwa kumbe chipsi ni viazi, kama mimi ningeweka kwenye mafuta powa kabisa
 
Unajua mafuta ya kuendeshea hayatumiwi na vya barabarani tu? Kuna mashine za nafaka, vyombo vya majini, generata za umeme nk. Huoni utawabebesha mzigo wasiohusika? Bunge liwe makini na mawazo ambayo nahisi hayana utafiti.

Ni swala la kubadili jina tu badala ya road license iwe polution license, huko majini vyombo vinasota na kusababisha uharibifu wa mazingira kama zinavyoharibika barabara, majenerator yanapolute hewa
 
Unajua mafuta ya kuendeshea hayatumiwi na vya barabarani tu? Kuna mashine za nafaka, vyombo vya majini, generata za umeme nk. Huoni utawabebesha mzigo wasiohusika? Bunge liwe makini na mawazo ambayo nahisi hayana utafiti.

Ni swala la kubadili jina tu badala ya road license iwe polution license, huko majini vyombo vinasota na kusababisha uharibifu wa mazingira kama zinavyoharibika barabara, majenerator yanapolute hewa
 
Sawa lakini kama alivyojibu jamaa kuna mitambo amabayo hutumia mafuta pia na haina uhusiano wowote na barabara

Wanaweza kubadili jina la hiyo tozo ili kumaanisha wanachokitaka badalla ya barabara
 
Back
Top Bottom