Mbunge alia mbele ya waziri

Mbunge alia mbele ya waziri

Analia ili aonewe huruma huo ni uchizi tu,hawa wabunge wa ccm sijui wakoje,mbunge mzima ovyoo kabisa,ni wananchi wangapi Mtwara wanateseka hadi dakika hii na hawajui wale wapi kwa kutenganishwa na familia baada ya agizo la ''WAPIGENI NA MIMI NASEMA WAPIGWE TU''kutekelezwa na JWTZ kinyama kabisa.Sasa wananchi wanalipigia hesabu hilo contena lako vilivyomo wavichome moto.
 
Mbona wengi tu hawana sehemu za kuishi si afadhali hata yeye ana kontena wengine wanalala vibarazani miaka 50 ya CCM madarakani!
 
Back
Top Bottom