Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,820
- 11,269
Chama kikiona ana kosa kimfukuze kama walivyofukuzwa hao mnaowaita covid19.
Hamna mtu anayemlazimisha. Yeye yuko bungeni kama mwakilishi wa Chadema na hivyo anawajibika kwa Chadema. Kama anaona mambo wanayofanya Chadema sasa hivi hayana tija ( ambayo ni haki yake ya msingi ) basi awe muwazi kwa kutofautiana nao hadharani au ajiudhuru ili apate nafasi ya kurudi kupitia chama ambacho dira yake anaikubali. Kama anakubali kuwa Mwenyekiti wa chama chake ni gaidi, ana sababu gani kubaki katika chama kinachoongozwa na gaidi?Msimlazimishe kuunga mkono mambo hayana tija. Yeye kipaumbele chake ni jimbo lake.
Mh.Aida Khenan ni mzalendo Sana...ana tabia ya kuangalia mbali kwa maslahi ya wananchi na nchi...
Ametulia Anakula poshoTangu CHADEMA wameanza kampeni zao za Chadema digitali hadi ya Katiba Mpya huyu Mheshimiwa sijamsikia. Viongozi na wanachama wenzake wanawekwa ndani lakini yuko kimya...
Yupo mzima wa afya anachapa kazi! Unataka atoke aende wapi magomeni au kariakoo? 😀😃Tangu CHADEMA wameanza kampeni zao za Chadema digitali hadi ya Katiba Mpya huyu Mheshimiwa sijamsikia. Viongozi na wanachama wenzake wanawekwa ndani lakini yuko kimya...
Tangu CHADEMA wameanza kampeni zao za Chadema digitali hadi ya Katiba Mpya huyu Mheshimiwa sijamsikia. Viongozi na wanachama wenzake wanawekwa ndani lakini yuko kimya...
Kwa nini hakusubiri maelekezo kutoka kwenye chama chake kabla ya kwenda kula kiapo cha ubunge? Alifanya hivyo akijua thika kuwa chama chake hakitambui uchaguzi uliompa yeye ushindi. Sasa sielewi anasubiri taarifa ipi? Kama hawajamjadili ina maana yeye bado ni mwanachama wa Chadema. Labda kama amewapigia private call.Alishasema kuwa covid 19 akiwa bungeni wanamkebehi,pia akasema hajawahipewa taarifa yoyote kutoka chadema kuhusu uhalali wake wa ubunge.
Alijibiwa kuwa hakuna kikao chochote kimewahi kumjadili yeye.
Hivyo kufanya kazi jimboni kwake ni sahihi kabisa,issue zingine nikumchonganisha tu.
Na wabunge wote wa chama chako wanaozungumzia ilani ya chama chao jimboni kwao ni wasemaji wa CCM? Na wanafanya hivyo kwa sababu chama chao ni muhimu kuliko familia au wananchi waliowachagua kuwawakilisha?Unataka aache kushughulikia kero za wananchi jimboni kwake aje ufipa kupiga porojo zisizo na tija? Yeye siyo katibu mkuu wala msemaji wa chama, unataka ajitie kimbelembele kukisemea chama kama nani?
Acheni upuuzi huo wa kudhani kuwa chama chenu ni muhimu kuliko familia au wananchi waliowachagua kuwawakilisha.
Chaguo la CCM huyo mbunge wa kimkakatiTangu CHADEMA wameanza kampeni zao za Chadema digitali hadi ya Katiba Mpya huyu Mheshimiwa sijamsikia. Viongozi na wanachama wenzake wanawekwa ndani lakini yuko kimya..
Kumbe kukamatwa kwa mbowe ni ilani ya chama siyo?Kuna ubaya gani yeye kama mwanachama wa Chadema kuzungumzia ilani ya chama chake akiwa jimboni mwake?
Hahaha kapoteana. Analipa gharama za ubunge wa kupewa. Waliompa akina Jiwe, Polepole na Bashiru Pembe zao zimekatwa. Hana mtetezi tenaTangu CHADEMA wameanza kampeni zao za Chadema digitali hadi ya Katiba Mpya huyu Mheshimiwa sijamsikia. Viongozi na wanachama wenzake wanawekwa ndani lakini yuko kimya...
hahahaYupo mzima wa afya anachapa kazi! Unataka atoke aende wapi magomeni au kariakoo? 😀😃