Mbunge ahoji kuhusu maji Ikungi Mashariki. Spika Ndugai asema Jimbo lilitelekezwa na aliyekimbilia Ubelgiji

Huyu jamaa bichwa haliko sawa!! kuna fyuzi zimelegea si bure.... Lissu akikaa kimya vibaya akiongea vibaya - Kwanza we mzee si unaumwa, vaa barakoa shauri yako ni ushauri tu wa bure - sombasomba hataniwagi, kambeba mzobe mzobe shosti wako mwendazake hata muda wa kuaga hakupata - we haya weeee ! endelea kucheza

Mama Samia thibiti hii kitu, itakuharibia regime yako!! hawa watu bila kuwaonya mapema ni wabaya sana - watafanya mambo ya hovyo then wananchi watakulaumu wewe.
 
Kwani mtaturu ni mbunge wa wap?au alikuwa anampiga kijembe kiaina mbunge wa ccm wa Sasa hv spika awe mkweli tu
 
Huyo mgogo sio mzima kabisa .kama sio kichaa cha dawa basi uenda anaaga kwa dharau kipindi chake cha mwisho ubunge au kumfuata mwendazake !!!
 
Huyo mgogo sio mzima kabisa .kama sio kichaa cha dawa za India. basi uenda anaaga kwa dharau kipindi chake cha mwisho ubunge au kumfuata mwendazake !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…