Elevat Kapela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2017
- 630
- 1,837
Sijui kama huwa zimetimia kichwani kwa huyu jamaa?
Ni mtu wa fursa hana issueNilikua namuelewa kwa ' standings ' kumbe bure asee'
Huyu mzee siyo mzimaSijui kama huwa zimetimia kichwani kwa huyu jamaa?
Huyu jamaa bichwa haliko sawa!! kuna fyuzi zimelegea si bure.... Lissu akikaa kimya vibaya akiongea vibaya - Kwanza we mzee si unaumwa, vaa barakoa shauri yako ni ushauri tu wa bure - sombasomba hataniwagi, kambeba mzobe mzobe shosti wako mwendazake hata muda wa kuaga hakupata - we haya weeee ! endelea kuchezaMbunge wa Viti Maalum Singida, Aisha Rose amesema Serikali imechimba visima katika Jimbo la Ikungi Mashariki na Ikungi Magharibi lakini havina mtandao wa maji
Kabla ya kupata maelezo ya Naibu Waziri wa Maji, Spika Job Ndugai alimshukuru Mbunge huyo kwa maswali kuhusu Ikungi Mashariki akisema, "Lile Jimbo la yule jamaa aliyekimbilia Ubelgiji lilitelekezwa halina mtu wa kulishughulikia"
Akimjibu Mbunge, Naibu Waziri MaryPrisca Mahundi amesema baada ya kuchimbwa visima, kazi inayofuata ni kuona mtandao unawafikia Wananchi
Ametoa tena utaratibu wa kufuatwa ili Chadema iwafute uachama ,, duh huyu mzee kweli kuna fyuzi haipo sawa kichwani' au ndio siku zinakaribia,, anabwabwaja ovyo'Ni mtu wa fursa hana issue
Hatari na nusuAmetoa tena utaratibu wa kufuatwa ili Chadema iwafute uachama ,, duh huyu mzee kweli kuna fyuzi haipo sawa kichwani' au ndio siku zinakaribia,, anabwabwaja ovyo'
Huyo mgogo sio mzima kabisa .kama sio kichaa cha dawa basi uenda anaaga kwa dharau kipindi chake cha mwisho ubunge au kumfuata mwendazake !!!Mbunge wa Viti Maalum Singida, Aisha Rose amesema Serikali imechimba visima katika Jimbo la Ikungi Mashariki na Ikungi Magharibi lakini havina mtandao wa maji
Kabla ya kupata maelezo ya Naibu Waziri wa Maji, Spika Job Ndugai alimshukuru Mbunge huyo kwa maswali kuhusu Ikungi Mashariki akisema, "Lile Jimbo la yule jamaa aliyekimbilia Ubelgiji lilitelekezwa halina mtu wa kulishughulikia"
Akimjibu Mbunge, Naibu Waziri MaryPrisca Mahundi amesema baada ya kuchimbwa visima, kazi inayofuata ni kuona mtandao unawafikia Wananchi
Huyo mgogo sio mzima kabisa .kama sio kichaa cha dawa za India. basi uenda anaaga kwa dharau kipindi chake cha mwisho ubunge au kumfuata mwendazake !!!Mbunge wa Viti Maalum Singida, Aisha Rose amesema Serikali imechimba visima katika Jimbo la Ikungi Mashariki na Ikungi Magharibi lakini havina mtandao wa maji