Mbunge ahoji kuhusu maji Ikungi Mashariki. Spika Ndugai asema Jimbo lilitelekezwa na aliyekimbilia Ubelgiji

Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
aisee sipati picha kama hulipwi senti yoyote itakuwa ni uonevu mkubwa.
 
Ni fala tu toka 2017 mpaka Leo miaka 4 kwanini hawajapeleka maji?

Ccm ni laana sana kwa watanzania
 
Kwa hili Mheshimiwa Ndugai hajatumia hekima kabisa. Siku yakimfika yeye halafu watu wakimkebehi asikimbilie kuomba msaada wa Polisi.
 
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Huku Ndungai nae akigaragazwa huko ndani ya CCM mpk akampiga gongo la kichwani mshindani wake mpk akazimia.
 
Dah' amewekewa clip hapo Mawinguni ,aliyosema hawezi rudi Ccm, kaishia kugugumia na kusema et alimgalagaza Lisu kamati kwa 100%, huku yeye akipata kura 24 na Lisu 6'
Mzee pumzi imekata ameamua kurudi CCM apate hata uteuzi, kwanini hawakumuuliza why alihamia CHADEMA badala ya kubaki CCM?
 
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Marehemu dikiteta magufuli asingeweza kupata kura hata moja mbele ya Membe, kuona hivyo akaamua kumfukuza uanachama, hakuna mwanaccm aliyekuwa anamuamini marehemu dikiteta magufuli ndani ya kamati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…