Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,615
Umeona kama kuna tatizo mkuu?Alipata 100% afu Lisu alipata kura 6 ,yeye 24 ' duh,,
Umeona kama kuna tatizo mkuu?Alipata 100% afu Lisu alipata kura 6 ,yeye 24 ' duh,,
Huyu mzee amelaaniwa siyo bureNdugai alishindwa Jenga vyoo vya shule jimboni kwake ndio aulize ya singida
Jamaa kiazi kweli
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
aisee sipati picha kama hulipwi senti yoyote itakuwa ni uonevu mkubwa.Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!
Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Sijamuelewa ,,hebu apumzike na chama chake sio kutufanya hatujui hesabu za MAGAZIJUTOUmeona kama kuna tatizo mkuu?
Ni fala tu toka 2017 mpaka Leo miaka 4 kwanini hawajapeleka maji?Mbunge wa Viti Maalum Singida, Aisha Rose amesema Serikali imechimba visima katika Jimbo la Ikungi Mashariki na Ikungi Magharibi lakini havina mtandao wa maji
Kabla ya kupata maelezo ya Naibu Waziri wa Maji, Spika Job Ndugai alimshukuru Mbunge huyo kwa maswali kuhusu Ikungi Mashariki akisema, "Lile Jimbo la yule jamaa aliyekimbilia Ubelgiji lilitelekezwa halina mtu wa kulishughulikia"
Akimjibu Mbunge, Naibu Waziri MaryPrisca Mahundi amesema baada ya kuchimbwa visima, kazi inayofuata ni kuona mtandao unawafikia Wananchi
Kwa hili Mheshimiwa Ndugai hajatumia hekima kabisa. Siku yakimfika yeye halafu watu wakimkebehi asikimbilie kuomba msaada wa Polisi.Mbunge wa Viti Maalum Singida, Aisha Rose amesema Serikali imechimba visima katika Jimbo la Ikungi Mashariki na Ikungi Magharibi lakini havina mtandao wa maji
Kabla ya kupata maelezo ya Naibu Waziri wa Maji, Spika Job Ndugai alimshukuru Mbunge huyo kwa maswali kuhusu Ikungi Mashariki akisema, "Lile Jimbo la yule jamaa aliyekimbilia Ubelgiji lilitelekezwa halina mtu wa kulishughulikia"
Akimjibu Mbunge, Naibu Waziri MaryPrisca Mahundi amesema baada ya kuchimbwa visima, kazi inayofuata ni kuona mtandao unawafikia Wananchi
Huku Ndungai nae akigaragazwa huko ndani ya CCM mpk akampiga gongo la kichwani mshindani wake mpk akazimia.Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!
Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Kwani alishawahi kutumia hekima lini mkuu?Kwa hili Mheshimiwa Ndugai hajatumia hekima kabisa. Siku yakimfika yeye halafu watu wakimkebehi asikimbilie kuomba msaada wa Polisi.
Wanaomsikiliza Abunuasi Nyalandu wanafanana naye akili.Alipata 100% afu Lisu alipata kura 6 ,yeye 24 ' duh,,
Hatari snSijamuelewa ,,hebu apumzike na chama chake sio kutufanya hatujui hesabu za MAGAZIJUTO
Dah' amewekewa clip hapo Mawinguni ,aliyosema hawezi rudi Ccm, kaishia kugugumia na kusema et alimgalagaza Lisu kamati kwa 100%, huku yeye akipata kura 24 na Lisu 6'Hatari sn
Mzee pumzi imekata ameamua kurudi CCM apate hata uteuzi, kwanini hawakumuuliza why alihamia CHADEMA badala ya kubaki CCM?Dah' amewekewa clip hapo Mawinguni ,aliyosema hawezi rudi Ccm, kaishia kugugumia na kusema et alimgalagaza Lisu kamati kwa 100%, huku yeye akipata kura 24 na Lisu 6'
Marehemu dikiteta magufuli asingeweza kupata kura hata moja mbele ya Membe, kuona hivyo akaamua kumfukuza uanachama, hakuna mwanaccm aliyekuwa anamuamini marehemu dikiteta magufuli ndani ya kamatiLazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!
Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Nilikua namuelewa kwa ' standings ' kumbe bure asee'Mzee pumzi imekata ameamua kurudi CCM apate hata uteuzi, kwanini hawakumuuliza why alihamia CHADEMA badala ya kubaki CCM?