Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,215
- 162,795
Tafakari mwenyewe.Kwani ni ajabu sana kutomiliki cm ya smartphone?
Mbunge mmoja(mwanamama) ameomba muongozo wa spika akitaka taarifa wanazotumia kutoka ofisi ya Bunge kama vile ratiba n.k, zitolewe kwa njia nyingine mbali na kutumiwa kwenye simu zao kwani yeye simu yake ni ya kawaida tu na siyo smart phone hivyo anashindwa kupata taarifa hizo.
Hata hivyo,Spika aliangua kicheko na kumtaka mh. huyo atafute simu za kisasa kwani ndio zitatakiwa hapo baadae.
My take:
Ni kweli au anatania?
Au ndio anataka wabunge waanze kununuliwa ipad kiaina?
Au mh.huyu ni mjamaa?
Ni mbunge wa chama gani? Possibly atakuwa ni viti maalumu!
Mbunge gani huyo? Inawezekana hata kibajaji ana Smart Phone!
Jina sikulisikia mkuu.Ni mbunge wa chama gani? Possibly atakuwa ni viti maalumu!
Anawadhalilisha wananchi waliomchagua au ni wale wa nyongeza!
Mfano huyu maji marefu ambae hata kusoma hajui atamiliki vp smartphone?
Nina mwezi wa saba sasa natumia nokia tochi, na maisha yamekuwa poa sana kwanza rahisi kuweka mfukoni, charge wala sifikilii ni mara moja kwa wiki.
Una mbadala wake kama vile pc mkuu
Papa Fransis wa kanisa katoliki ni kiongozi anayeongoza watu wengi duniani, huyo mbunge ambaye ni viti maalumu nimemsikia na kumuona anaweza kuwa muhimu katuka jamii kuliko papa?
Waweza jiuliza kwa nini nauliza hivi, kifupi ni kwamba Papa kwa mara ya mwisho kuangalia Television ni tarehe 7/07/1990 ana miaka 25 hajaangali tv, pia hatumii kabisa internet, akitaka kupata taarifa za kimataifa huwa anatenga dakika kumi kila siku kusoma gazeti moja la Italy