Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,587
- 17,532
Hali ya hewa ya ukanda huo ina mvua za misimu mitatu ya mvua kwa mwaka hivyo ukame hautokeagi huko. Na kwa sababu ya kuwa upande wa magharibi wa ziwa Victoria, upepo unaovuma kuelekea nchi kavu unasafirisha hewa yenye umajimaji. Pia upepo ukivuma kutoka magharibi kwenda mashariki, unakuwa na mvuke kutoka msitu mkubwa wa Kongo. Na kutokana na ziwa kuna mawingu ya Cb (Cumuloninbus) yanayo leta mvua nyingi inayo ambatana na radi siku 215 kwa mwaka katika sehemu hizo za Chato na Kagera kwa ujumla. Majani na miti hubaki ya kijani (evergreen ) mwaka mzima.
BURIGI NI MBUGA /HIFADHI ULIYOPANDISHWA DARAJA AWAMJ YA 4 PANAFAA KWA MAMBO YA UTALII LAKINI ILICHELEWESHWA SANA MAANA PORI LILIANZIA SEHEMU YA KWIMBA- MWAMALA LIKALAMBA KAHAMA. BUKOMBE MBOGWE, GEITA,KAKONKO, BIHARAMULO HADI CHATO.. KUCHELEWA KUPANDISHWA DARAJA KULIRAHISISHA MAENEO MENGI KUPOTEZA SIFA.Mbuga FAKE ya dikteta na nduli. Haendi mtu huko usweken kapeleka wa nyama ili hotel yake ipate wateja. Pamoja na hirizi zake hotel itapata wateja kiduchu sana kutokana na laana ya Mwenyezi Mungu kuhusu maovu yake mbali mbali.
Kwani chadema ina watu wenye akili timamu? Fuatilia utagundua mwenyewe wote 0 brain.Chadema wakisikia neno chato wanaimia sana kama vile chato ipo kenya
Mtu mwenye akili timamu hawezi kua mfuasi wa chademaKwani chadema ina watu wenye akili timamu? Fuatilia utagundua mwenyewe wote 0 brain.
BURIGI NI MBUGA /HIFADHI ULIYOPANDISHWA DARAJA AWAMJ YA 4 PANAFAA KWA MAMBO YA UTALII LAKINI ILICHELEWESHWA SANA MAANA PORI LILIANZIA SEHEMU YA KWIMBA- MWAMALA LIKALAMBA KAHAMA. BUKOMBE MBOGWE, GEITA,KAKONKO, BIHARAMULO HADI CHATO.. KUCHELEWA KUPANDISHWA DARAJA KULIRAHISISHA MAENEO MENGI KUPOTEZA SIFA.
KWA HIYO BURIGI SIYO ENEO LA KUPUUZA TU KWA KUWA MALI YA MBOWE INAPIGWA MNADA.
Jamaa angeweza kuhamisha mlima Kilimanjaro angehamisha uwende Chato
Du bahari ingehamishika tungeandika maumivu.Kama namuona anavoitamani Coco Beach
Du bahari ingehamishika tungeandika maumivu.
BURIGI CHATO;
Hali ya hewa ya ukanda wa Kagera hadi Chato ina mvua za misimu mitatu ya mvua kwa mwaka hivyo ukame ni nadra sana kutokea katika ukanda huo. Na kwa sababu ya kuwa upande wa magharibi wa ziwa Victoria, upepo unaovuma kuelekea nchi kavu unasafirisha hewa yenye umajimaji.
Kijiografia Upepo unaovuma kutoka magharibi mwa ukanda wa Kagera hadi Chato kwenda mashariki, unakuwa na mvuke kutoka msitu mkubwa wa Kongo. Na kutokana na ziwa kuna mawingu ya Cb (Cumuloninbus) yanayo leta mvua nyingi inayo ambatana na radi siku 215 kwa mwaka katika sehemu hizo za Chato na Kagera kwa ujumla.
Majani na miti hubaki ya kijani (evergreen ) mwaka mzima.
#Karibu Mbuga ya Burigi-Chato.
Vijana wengi hawaijui nchi yao Tanzania vema. Wanajua mijini tu. Geografia ya Tanzania hawaijui! Watabisha sana hawajui kwamba miaka ya 60-80 wanyama walikuwa wanatembea free nchi nzima.Enyi watu wenye mioyo ya chuki lini mtakaa na kuwaza jinsi gani ya kujikombo? Kabla hamjaanza tokwa na maneno mengi rudia historia kidogo. Ile mbuga ipo miaka mingi sana na ni eneo kubwa sana linatambulika. Azia chato hadi kimisi ipo karagwe nenda hadi kigoma wote ni mstu mkubwa.Miaka ya 94 baada ya wakimbizi wa nchi zajirani kuja benaco ndio na majambazi kuingia kwenye ile misitu wanyama waliama tembo waliuliwa. Na majangiri.
naonelea Chattle iwe makao makuu ya East Africa na ikiwezekana hata makao makuu ya 'inji' yawepo huko
Watz tuache wivu wa maendeleo!
Chattle imebarikiwa kuliko eneo lolote LA Africa,hata Mlima Kilimanjaro ujengwe huko..INA wezekana
pia mgodi wa mererani,mwadui na hata ule wa acacia's na ile ya Barick ianzishwe huko pia.
wenye wivu wajitundike.
Kwahiyo vichwani tayari mmeshaingia kwenye mashindano ya Ukanda??Kamwe chato haiwezi fanana na kanda ya kaskazini kwa utalii,walii wengine huja kupanda mlima Kilimanjaro Kisha mbuga za Serengeti na ngorongoro baada ya hapo hurudi kwao wengine huenda Zanzibar.
Hawawezi kuja mlima Kilimanjaro wakapita Serengeti ngorongoro waende chato labda hao twiga tuwapake jik watofautiane
Selous haijulikani? wewe unaishi kuzimu?Nahofu kusema "BURIGI NAIFANANISHA NA ZOO KUBWA ILIYOKO PORINI BADALA YA MBUGA!!! NINA HOFU ZAIDI KWAMBA HAITALETA TIJA ILIYOKUSUDIWA KWA KIPINDI KIFUPI..."
NINAJIULIZA "SAADANI NA BURIGI IPI INAWEZA KUPATA WATALII WENGI IKITANGAZWA?" HIVI MBUGA YA "SELUU" KWANINI HAIJULIKANI?
ALIIMBA MSHAIRI "SUKANI SINIKATIKIE, SAFARI NGALIKO MBELE..."