Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,451
- 13,803
And not lunar eclipseKwa kweli hii ni kipatwa kwa JF/ For sure this is JF's eclipse 😎.
And not lunar eclipseKwa kweli hii ni kipatwa kwa JF/ For sure this is JF's eclipse 😎.
JF imepatwa na imepatikana haswa. Maana si kwa akili hizi.And not lunar eclipse
Miaka yetu ya 2007 hakukuwa na hizi mambo. Wewe si mtoto wa buku bengaJF imepatwa na imepatikana haswa. Maana si kwa akili hizi.
Mimi wa mwanzoni mwa miaka ya 80.Miaka yetu ya 2007 hakukuwa na hizi mambo. Wewe si mtoto wa buku benga
Mjomba acha kulalamika -damu yenyewe aliyonyonya hata cc 1 (1ml) haifikiHakika leo nimekumbwa na msongo kisa mbu. Nimeamka asubuhi nikakuta mbu ndani ya neti. Kitu cha kushangaza ni kuwa alikua ametuna tumbo mpka kupaa ilikuwa tabu kwake. Yaani kaninyonya damu mpaka basi.
Mliingia pamoja ila ww hukumwona eti unapotezea.Nimeumia sana kwa kumwona. Na hadi sasa nipo kazini roho inaniuma nikiwaza alipata upenyo upi kuingia ndani ya neti isiyo na tundu?
Kuumwa na mbu sio lazima upate malaria. Kuna homa ya Dengue.Hapa najiuliza atakuwa yule anopheles wa malaliria ama? Daah kuna vitu vinaweza kuwa vya kijinga ila vikamkaa mtu na asiongelee maana ataonwa mjinga.
"Homa ya dengue" in English is dengue fever. It is a viral infection transmitted to humans through the bite of infected Aedes mosquitoes, commonly found in tropical and subtropical climatesHoma ya dengue ndo ugonjwa gani
Wacha kunitisha mzee"Homa ya dengue" in English is dengue fever. It is a viral infection transmitted to humans through the bite of infected Aedes mosquitoes, commonly found in tropical and subtropical climates
Ilitikisa sana DSM hapo majuzi kati.
Huo ndo ukweli. Chukua tahadhari kwani ugonjwa huo hauna kinga au matibabu rasmi. Ukienda hospitali utatibiwa dawa za kupunguza maumivu na kuuwezesha mwili ujipambanie wenyewe.Wacha kunitisha mzee
Ahahahaaa angemuona secretarybird au Mbaga Jr angegeuka kuwa fursa kwenye mchezo wao pendwa wa kujichukulia sheria mkononi.Sasa nzi usiku anafanya nini chumbani?
Chap tuu nzi angepata kazi ya kufanya 🔥Ahahahaaa angemuona secretarybird au Mbaga Jr angegeuka kuwa fursa kwenye mchezo wao pendwa wa kujichukulia sheria mkononi.
Eti bhana!Mbu tu..
Hapana. Mdau aliyesema mbu tu, anaonekana kujizima data kana kwamba hajui madhara ya mbu.Nyie mnachukulia poa sio?