Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Moja kati ya sifa kubwa ya Binadamu ambaye anastahili kuitwa clever, ni uwezo wa kujua ni wakati gani hasa unapaswa kuachia na kufanya mengine, Mlm.Nyerere ni mfano halisi alijua ni wkt gani muafaka wa yeye kuachia na kufanya mengine na alifanikiwa sana kwenye hili!
Sasa nawashauri sana watu kama Mbowe, Zito Kabwe na Lowasa hakuna wakati muafaka wa ninyi kuachana na Siasa kama sasa hivi, kwani mmefanya mengi kulingana na uwezo wenu na mmeshafikia peak ya uwezo wenu na hakuna kipya mtakachofanikiwa tena!
Mbowe una mchango wako mkubwa tu chadema na upinzani kwa ujumla atakayebisha hili ana matatizo lkn umefikia ukomo na hakuna jipya tena utakalolileta chadema zaidi ya kubomoa ona sasa unaambiwa unauza Madawa kulevya na hakuna anayekataa wala kukubali hilo kwa 100% hivyo unahisiwa, Zito Kabwe kulikuwa na wakati ulikuwa nyota hasa kwa vijana wkt upo chadema uling'ara una mchango mkubwa sana chadema na Upinzani kwa ujumla kuna vijana wengi walijiunga Upinzani kwa ajili yako lkn pia nasikitika kukwambia kwamba graph yako imeshafikia peak na sasa inashuka na hakuna kitu utafanya hivyo it's time to quit na fanya mengine hakuna miujiza asikudangane mtu huwezi kurudisha mshale wa saa nyuma na kama ulikuwa unatafuta ushahidi wa hili ni Chama chako cha ACT kimeshindwa ku-take off na kina Mbunge mmoja tu, umeshindwa kushinda hata Kata moja kwenye uchaguzi ulioisha ingawaje ulifanya Kampeni ya kufa mtu hivyo hakuna kipya utafanya it's time to go man, Lowasa vivyo hivyo kubali yaishe, kama ulikuwa bado haujakubali mpaka sasa hivi hata baada ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa Serikali za Mitaa ...