Mbowe, Zitto Kabwe na Lowassa tafuteni cha kufanya its over!

You can't quit but fight the battle till the end. Ukiwa na mentality ya kuquit kila huwez fanikiwa. sasa mfano ukiona mwanao kila siku anakuja na matokeo ya F kila siku utamuachisha shule?? Wanaokata tamaa mara nyingi huwa wanaishia kujinyonga. Yaan mtoa post ni dhahiri your WEAK, you can't accept challenges hupaswi kutoa ushauri ata kwa mtoto wa chekechea.
 
Acheni kuwasingizia akina Mbowe na Zitto. Upinzani mnaupa nguvu wenyewe kwa kushindwa kutekeleza ahadi zenu kina mnapopewa ridhaa ya kuongoza nchi. Mmekuwepo madarakani bila chama cha upinzani kwa zaidi ya miaka 30 na bado zaidi ya nusu ya watanzania waliendelea kunywa maji ya tope na kutumia taa za vitabari kama ilivyo leo. You are lamenting for your own failures..
 
Hapo wa kung'atuka ni wa2 tu, mzee wa kubadili gia hewani (mbowe) na msanii edo......zito bado anahitajika.
 
Ndugu yangu umeongea ukweli Mtupu.asiye sikia la mkuu huvunjika guu.

Kisaidieni chama chetu mawazo mazuri na mbinu za kutekeleza sera zake kwani kina majukumu muhimu ya kufanya. kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa na kukesha mkiwasema watu wengine humu hakusaidii utekelezajiwa wa sera yoyote.
 
Serikali ya Ccm na watu wake wanaelekeza akili na mawazo yao kwa Mbowe,Lowassa na Zitto wakati masuala ya msingi wanaya sahau.
Leo tunasikia Mbunge wa Shinyanga anasema watendaji waache uongo kuwa hakuna njaa wakati watu wanashindia uji kwa ukosefu wa chakula. Mbunge wa Ccm kachoka na wananchi wake wamechoka, na bado mnajisahau na kusema eti kina Zitto watafute kazi nyingine kama vile ccm inafanya vizuri katika siasa.
Amkeni usingizini, ccm ndiyo imechokwa na kama uchaguzi wa haki unafanyika sasa hivi hakuna atakaye chagua usaha wa majipu au serikali inayoua uchumi na ajira tena
 
Uwez
Moja kati ya sifa kubwa ya Binadamu ambaye anastahili kuitwa clever, ni uwezo wa kujua ni wakati gani hasa unapaswa kuachia na kufanya mengine, Mlm.Nyerere ni mfano halisi alijua ni wkt gani muafaka wa yeye kuachia na kufanya mengine na alifanikiwa sana kwenye hili!

Sasa nawashauri sana watu kama Mbowe, Zito Kabwe na Lowasa hakuna wakati muafaka wa ninyi kuachana na Siasa kama sasa hivi, kwani mmefanya mengi kulingana na uwezo wenu na mmeshafikia peak ya uwezo wenu na hakuna kipya mtakachofanikiwa tena!

Mbowe una mchango wako mkubwa tu chadema na upinzani kwa ujumla atakayebisha hili ana matatizo lkn umefikia ukomo na hakuna jipya tena utakalolileta chadema zaidi ya kubomoa ona sasa unaambiwa unauza Madawa kulevya na hakuna anayekataa wala kukubali hilo kwa 100% hivyo unahisiwa, Zito Kabwe kulikuwa na wakati ulikuwa nyota hasa kwa vijana wkt upo chadema uling'ara una mchango mkubwa sana chadema na Upinzani kwa ujumla kuna vijana wengi walijiunga Upinzani kwa ajili yako lkn pia nasikitika kukwambia kwamba graph yako imeshafikia peak na sasa inashuka na hakuna kitu utafanya hivyo it's time to quit na fanya mengine hakuna miujiza asikudangane mtu huwezi kurudisha mshale wa saa nyuma na kama ulikuwa unatafuta ushahidi wa hili ni Chama chako cha ACT kimeshindwa ku-take off na kina Mbunge mmoja tu, umeshindwa kushinda hata Kata moja kwenye uchaguzi ulioisha ingawaje ulifanya Kampeni ya kufa mtu hivyo hakuna kipya utafanya it's time to go man, Lowasa vivyo hivyo kubali yaishe, kama ulikuwa bado haujakubali mpaka sasa hivi hata baada ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa Serikali za Mitaa ...[/QUOT
Uwezo wa kufikiri wa Watanzania umeishia hapo kama wewe !
 
Moja kati ya sifa kubwa ya Binadamu ambaye anastahili kuitwa clever, ni uwezo wa kujua ni wakati gani hasa unapaswa kuachia na kufanya mengine, Mlm.Nyerere ni mfano halisi alijua ni wkt gani muafaka wa yeye kuachia na kufanya mengine na alifanikiwa sana kwenye hili!

Sasa nawashauri sana watu kama Mbowe, Zito Kabwe na Lowasa hakuna wakati muafaka wa ninyi kuachana na Siasa kama sasa hivi, kwani mmefanya mengi kulingana na uwezo wenu na mmeshafikia peak ya uwezo wenu na hakuna kipya mtakachofanikiwa tena!

Mbowe una mchango wako mkubwa tu chadema na upinzani kwa ujumla atakayebisha hili ana matatizo lkn umefikia ukomo na hakuna jipya tena utakalolileta chadema zaidi ya kubomoa ona sasa unaambiwa unauza Madawa kulevya na hakuna anayekataa wala kukubali hilo kwa 100% hivyo unahisiwa, Zito Kabwe kulikuwa na wakati ulikuwa nyota hasa kwa vijana wkt upo chadema uling'ara una mchango mkubwa sana chadema na Upinzani kwa ujumla kuna vijana wengi walijiunga Upinzani kwa ajili yako lkn pia nasikitika kukwambia kwamba graph yako imeshafikia peak na sasa inashuka na hakuna kitu utafanya hivyo it's time to quit na fanya mengine hakuna miujiza asikudangane mtu huwezi kurudisha mshale wa saa nyuma na kama ulikuwa unatafuta ushahidi wa hili ni Chama chako cha ACT kimeshindwa ku-take off na kina Mbunge mmoja tu, umeshindwa kushinda hata Kata moja kwenye uchaguzi ulioisha ingawaje ulifanya Kampeni ya kufa mtu hivyo hakuna kipya utafanya it's time to go man, Lowasa vivyo hivyo kubali yaishe, kama ulikuwa bado haujakubali mpaka sasa hivi hata baada ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa Serikali za Mitaa ...
Mkuu you made my day....ngumu kumeza ila huu ndio ukweli! Tujifunze hata kwa wenzetu marekani kwa mfano, ukifanyika uchaguzi mtu akagombea top post mathalani

Mkuu, you made may day!....huu ndio ukweli, anayebisha hajitambui!
 
Back
Top Bottom