Mbowe, Zitto Kabwe na Lowassa tafuteni cha kufanya its over!

Nimependa Ulivyoelezea haujaegemea upande wowote!
Wewe ni toroli kama jina lako lilivyo, unasema hajaegemea upande wowote wakati hakuna mwana ccm hata mmoja? Ina maana ndani ya ccm hakuna wanaostahili kuacha siasa kama aliowataja? Akili za blue Monday unazihamishia weekend ili uonekane hauko mbali na mawazo ya green mwenzio.
 
Barbarosa nilitegemea utamshauri Mwenyekiti wako afanye siasa kwa kufiata sheria,Katiba na taratibu na siyo vuru vuru.

Vinginevyo mnaogopa Upinzani kama polisi ona mnavyofukuzana na Lissu TLS mmekuwa kama.wapiga debe wa Lissu.
 
Nimependa Ulivyoelezea haujaegemea upande wowote!
Imenenwa kuwa kupenda ni ugonjwa, hata kipofu utamuita ana makengeza......

Hivi jinsi huyo Mleta post alivyoonyesha ukada wake wa kutupa......

Bado wewe unadiriki kuita kuwa post yake haijajiegemeza upande wa kijani?!

Kweli nyinyi magamba mmeamua kila kukicha muendeshe propaganda humu mtandaoni mkidhani kuwa watanzania wote ni wapumbavu na malofa kama alivyotuita kada mwenzenu Ben........
 
yes wakibuni jinsi ya kusaidiana na wananchi katika kero zao,wanaweza kuwa shawishi wananchi,tatizo la CCM wanashinda uchaguzi,sio kwamba wananchi hawaoni ccm ilivyo mbovu ila wanaona hawana mbadala kwa upinzani,wanaibuka tu wakati wa kampeni! so wakianza mapema kushirikiana na wananchi mpaka kipindi cha uchaguzi tena then watakuwa wamejinyakulia 'ushawishi'

kingine ni kupambana strategically,mwaka jana lowassa alishinda Dar,sasa Dar peke yake haiwezi kumpa mtu ushindi,so wasichezee bahati tena,as 70% ya population iko VIJIJINI,so wangelenga nguvu zao huko vijijini...hapa Dar washapata ushawishi,iliyobaki ni huko mikoani,
Mstari wako wa kwanza una nguvu sana.CCM wanajitahidi kugusa wananchi hata kwa kujaribu,jamaa wao wanapinga na kubeza,hii ni hasara kwao.Walichotakiwa kufanya ni kuchukua hoja,na kuiboresha zaidi
 
It is not over yet because it has never started. Wewe unasema wamemaliza wakati bado hawajaanza! Muda mfupi ujao utaelewa ninachosema!!!
 
2cb50bbe1fc122fc04b38fc8f1e6a62a.jpg


Salamu wakuu

Mimi nizungumzie kidogo kuhusu huyu mweshimiwa:-

Anaitwa Edward Ngoyai Lowassa
Ni mtu mkubwa sana kwa sabababu kaongoza jimbo la monduri kwa muda mrefu kama mbunge

Pia baada ya mtukufu rais JK kuona anafaa zaidi

Akampa uwaziri mkuu

Makofi kwake tafadhari!!!
 
2cb50bbe1fc122fc04b38fc8f1e6a62a.jpg


Salamu wakuu

Mimi nizungumzie kidogo kuhusu huyu mweshimiwa:-

Anaitwa Edward Ngoyai Lowassa
Ni mtu mkubwa sana kwa sabababu kaongoza jimbo la monduri kwa muda mrefu kama mbunge

Pia baada ya mtukufu rais JK kuona anafaa zaidi

Akampa uwaziri mkuu

Makofi kwake tafadhari!!!
Khaaa! Mwenye simu kakunyang'anya?
 
2cb50bbe1fc122fc04b38fc8f1e6a62a.jpg


Salamu wakuu

Mimi nizungumzie kidogo kuhusu huyu mweshimiwa:-

Anaitwa Edward Ngoyai Lowassa
Ni mtu mkubwa sana kwa sabababu kaongoza jimbo la monduri kwa muda mrefu kama mbunge

Pia baada ya mtukufu rais JK kuona anafaa zaidi

Akampa uwaziri mkuu

Makofi kwake tafadhari!!!
Mweeeee Monduli mpaka leo wanashida ya Maji, kumbe kawa Mbuge miaka 20 khaaa!! Vipi mbona siku hizi Hatoi misaada
 
Wewe unadhani upinzani ni uadui ndio utafute kazi ya kufanya maana haujui demokrasia ya vyama vingi ililetwa na kupokelewa na watanzania wenye akili timamu kwa malengo yapi.
 
Back
Top Bottom