Mbowe: Walioko magerezani kwa kesi zakutengenezwa wakaachiwe

Mbowe: Walioko magerezani kwa kesi zakutengenezwa wakaachiwe

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mwenyekiti mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema, Freeman Mbowe akizungumza mbele ya waombolezaji kwenye msiba wa muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei.
 
Usikariri maisha, Zama zimebadilika.

Siku hizi presidential material ni watu type ya kina TRAORE sio hawa walamba asali.
Traore ni ishu nyingine haihusiani na siasa
 
Believe me wanaharakati wakishakata pumzi na mihemko yao watakikabidhi chama wenyewe kwa Mheshimiwa na hapo ndio Chadema watachukua nchi
Kwa sababu CCM mnapenda sana na mnasema ni presidential material tunataka Mbowe awe Rais kupitia CCM mwaka 2030.
 
Mwenyekiti mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema, Freeman Mbowe akizungumza mbele ya waombolezaji kwenye msiba wa muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei.
Huwa simuamini sana mtu anaezungumzaga mambo kwa wingi(tuna, walio na kesi za kubumba, waachiwe)

Sema wazi wazi TUNDULISSU aachiwe
 
Mwenyekiti mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema, Freeman Mbowe akizungumza mbele ya waombolezaji kwenye msiba wa muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei.
screenshot_20251219-132538-2-png.3533913
 
Attachments

  • Screenshot_20251219-132538~2.png
    Screenshot_20251219-132538~2.png
    968.6 KB · Views: 13
Kwanini sasa anakwepa kumtaja TAL kwa jina na kwa cheo chake?
wapo wengi, wengine haijulikani kama hai au wafu. Hata waliomahabusu wana haki kujumuisha. Nadhani katumia lugha nzuri ya kidiplomasia.
 
Back
Top Bottom