Mbowe: Wabunge wote wa CHADEMA kutokushiriki vikao vya bunge kuanzia kesho, wataelekea Arusha!

Dr Slaa pamoja na demu wake wameshindwa kurudi Arusha kwenye msiba wanakula bata Ujerumani.
Kama BABAAKO JK ANAVYOTUMIA PESA ZA WALIPA KODI KWENDA USA KWA YULE DEMU WA TANDALE ALIYEMZALISHA MAPACHA NA KUMPELEKA USA.ndiyo maana safari za JK USA hazina manufaa kwa taifa ni za UZINZI TU.
 
Mjadala wa bajeti unahitaji mchango wa CDM kwa maoni yangu wabunge wao wote tutokuwepo sidhani kama ni sahihi.
 
Poleni makamanda tutakuwa wote Arusha. Waacheni wabunge magamba wagonge meza na kulala bungeni.
 
Wewe inakuuma nini wasiposhiki?, viongozi wa cdm wanaona maisha ya watu waliokufa ni muhimu kuliko hiyo bajet. Acha wazee wa ndiooooo wapitishe wenyewe. Lkn wangekuwa wastaarabu wangeahirisha bunge au wajadili tukio hili kwani usalama wa nchi umetoweka.

Uhai na kifo kwako wewe kipi bora?
 
Dr Slaa pamoja na demu wake wameshindwa kurudi Arusha kwenye msiba wanakula bata Ujerumani.

Ulitaka wewe ndiyo uambatane na Dk Slaa? Kila uchao, wewe ni Dkt Slaa tu. Unatafuta mume we binti? Dkt Slaa ni Mbunge?

CC Mwita Maranya
 
Back
Top Bottom