Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
Tishio kwa dola kivip? Ina maana mbowe asipokuwepo na upinzani unakufa?kwa hyo mbowe ndio upinzani?Jibu ni moja tu, hii vita ya madawa aliyoianzisha Makonda ni feki, wameanzia kwa wasanii, wakaja sijui kwa akina nani, lakini lengo lao kuu ni Mh. Mbowe.
Na huu ni mkakati maalum, usidhani Makonda aliamka tu asubuhi akaanzisha haya maigizo. Ni mkakati ambao ulisukwa kwa lengo la kudhoofisha upinzani wakilenga kumchafua Freeman Aikael Mbowe maana ni moja ya watu ambao ni tishio kwa chama dola. Na mkakati huu una baraka zote kutoka juu.
Na ndio maana hutasikia Makonda akiendelea kutaja tena majina maana mlengwa mkuu tayari ameshatajwa. Bahati mbaya mikakati yao huwa haifanikiwi, maana ni ya kishetani.
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alipata kusema "Mwenye Ngoma baba sio mtoto".Tishio kwa dola kivip? Ina maana mbowe asipokuwepo na upinzani unakufa?kwa hyo mbowe ndio upinzani?
Fafanua MkuuMbowe ni Taasisi.
Na wewe umesahau. List ile ilitaja Philemon Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA na mbunge wa Hai. Polisi wakasema regardles of the name, mbunge wa Hai na mwenyekiti wa chadema anafahamika, kwa hiyo anatakiwa kuripoti kituo cha Polisi. Hapo Freeman (sio Filemon) Mbowe kama mbunge wa Hai ndipo alipojitokeza kwenye media na kukataa kuripoti polisi.Mkuu nikusahihishe, aliyetajwa na makonda ni philemony mbowe, sijui kwanini freeman anahamaki?
Huyo mbunge wa hai anasakwa na kamanda sirro kwa sababu ambazo jeshi la polisi halijasema, inawezekana ni madawa au kuhusu kauli za tundu lissu au masuala yake ya kibiashara au ni sababu anazozijua yeye sirro.
Mkuu, Mbowe anaishi Mikocheni Dar. Makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar, kwanini asiwe na mamlaka ya kumuita mkazi wake aende central police. Kina Iddi Azzan na wengine mbona walikwenda central na mambo yakaisha?.Mbowe ni mwenyekiti chama cha upinzani na JPM ni mwenyekit wa CCM hiv makonda anaweza kumuita JPM hiv hiv?
Jibu ni moja tu, hii vita ya madawa aliyoianzisha Makonda ni feki, wameanzia kwa wasanii, wakaja sijui kwa akina nani, lakini lengo lao kuu ni Mh. Mbowe.
Na huu ni mkakati maalum, usidhani Makonda aliamka tu asubuhi akaanzisha haya maigizo. Ni mkakati ambao ulisukwa kwa lengo la kudhoofisha upinzani wakilenga kumchafua Freeman Aikael Mbowe maana ni moja ya watu ambao ni tishio kwa chama dola. Na mkakati huu una baraka zote kutoka juu.
Na ndio maana hutasikia Makonda akiendelea kutaja tena majina maana mlengwa mkuu tayari ameshatajwa. Bahati mbaya mikakati yao huwa haifanikiwi, maana ni ya kishetani.
Ulipotelea wapi mkuu?Mbowe ni Taasisi.
Huyo rais wako mwenyewe anaendesha nchi kisiasa, unajifanya kipofuMajibu yenyewe kama ndiyo haya, basi mkoloni akiamua kurudi Barani Afrika ni rahisi sana kututawala tena!! Oh yes - we're disorganised lot mpaka tunasahau kabisa kuwa wamoja katika vita ya ku-save nguvu kazi ya Taifa letu dhidi ya madawa ya kulevya, badala yake mnakimbilia kumtetea MBOWE wakati hamjui alikuwa anaitwa Kituo cha Polisi kwa kosa gani? - masaa yote kutumbukiza siasa kwa kusingizia Serikali kwamba inakadamiza demokrasia na kudhoofisha upinzani Nchini, actually yeye kama Kiongozi wa upinzani alipashwa kuonyesha mfano bora kwa kuiitikia wito wa Polisi kuliko kubishana bishana nao, kwani walio itikia mwito wa Polisi kawazidi nini?
Nzito yako iko wapi? Sema umetoka kapaNina mashaka na Elimu yako naona una hoja nyepesi Embu tafiti vizuri