Hivi inawezekana kupata "majority" bungeni halafu ukashindwa urais??
Hackers wapo wa level tofauti! Na kwa system tofauti.
Ni vizuri kuambiana ukweli kwamba; kujenga inategemea unajenga nyumba ya aina gani, size gani, kwa material gani na kwa kutumia fundi wa kiwango gani cha utaalam. Si lele mama.
Huyo anayesema amejenga kwa mshahara wa laki 7 hajajibu swali la mleta mada, maana yeye analeta habari za kilimo na urithi wa mashamba ya wazazi. Hata hivyo hesabu zake hazi balance.
Utajenga nyumba (sio kibanda) kama tu, mshahara wako ni mkubwa (at least take home ya 5M) au mshahara mdogo (take home ya chini ya 3M) plus mkopo. Vinginevyo uwe mwizi au ujenge kwa miaka 20 uingie ukistaafu.

Mbowe atatumia muda wake mwingi kulalama kwa vile boli la kushindwa UKAWA liko mikononi mwakehao raia wa kigeni walitaka kuhack system ya NEC EEEEEEEEEH?Mbowe mmekomeshwa mlitaka mshinde kiunjanja janja Mungu kawaumbua,kova shikiria hao ma hackers segerea na keko mpaka Rais apatikane ndo muwatoe
Kuna kusindwa kihalali hilo linakubalika!! si kwa kura hizi za tume zinazofiki 108.94%,
Numbers don't lie idadi ya wakiga kura inatofautiana na mchanganuo kwa kura 10,000?? Tume itoe maelezo
Mzee wasira analalamika mchezo mchafu jimboni kwake sielewi anamlalamikia nani mabox ya kura yanalala halmashauri - mkurugenzi wa halmashauri ni mteule wa ccm hatujui wanayafanya nini mabox..
Clap!Mwenyekiti mwenza wa UKAWA mh Freeman Mbowe amesema hawatambui matokeo ya urais yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kwa madai ya kuhujumiwa.
Mbowe alikuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa ngome Kawe.
Aidha amelalamikia kukamatwa kwa vijana wa IT pamoja na raia wa kigeni ambao amesema hawahusiani na CHADEMA.
Mbowe ametumia muda mrefu kulalamikia kuvurugwa mfumo wao wa vijana wa IT.
Amesema hata CCM wamekuwa na vijana kama wa namna hiyo ambao wanakusanya matokeo na kuchakachua.
Kesho amesema watakutana kamati kuu ya CHADEMA, na pia viongozi wanaouda UKAWA.
============================