Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

Mie nililinda kura yangu mita miambili zilikuwa grossary na zilizotangazwa ni za halali kabisa.
 
Mbowe acha kulia lia umeua chama kwa tamaa zako za madaraka.

Nani kwakwambia nchi wanachukua kwa kubadili gia angani.
 
aisee Mbowe akomae,tumechoka kuburuzwa buruzwa na kuhubiri amani ambayo amani yenyewe ni kukubaliana na chama tawala na serikali yake. haki iko wapi kama uhuru wa kujadili matokeo haupo?? tuache ushabiki wa kisiasa, hoja za Mbowe zijibiwe na NEC ili wananchi wapate imani na hili swala
 
Ni vizuri kuambiana ukweli kwamba; kujenga inategemea unajenga nyumba ya aina gani, size gani, kwa material gani na kwa kutumia fundi wa kiwango gani cha utaalam. Si lele mama.

Huyo anayesema amejenga kwa mshahara wa laki 7 hajajibu swali la mleta mada, maana yeye analeta habari za kilimo na urithi wa mashamba ya wazazi. Hata hivyo hesabu zake hazi balance.

Utajenga nyumba (sio kibanda) kama tu, mshahara wako ni mkubwa (at least take home ya 5M) au mshahara mdogo (take home ya chini ya 3M) plus mkopo. Vinginevyo uwe mwizi au ujenge kwa miaka 20 uingie ukistaafu.
 
Mbowe Muogope Mungu. Pesa na mali ni vitu vya kupita. Unachokusudia kuilazimisha serikali itumie vyombo vya dola kukabiliana na hatari yoyote kwa raia itagharimu maisha ya watu wengi. Ikitokea hivyo, hutabaki salama, popote duniani utakapoenda ukidhani utakuwa salama, hutakuwa salama. Ilitakiwa ukatae na ushindi wako wa ubunge na majimbo mengine ya chadema na ukawa kwa ujumla kuthibitisha tume inafanya makosa. Vinginevyo utii mamlaka zilizowekwa. Usicheze na maisha ya watu kabisa.
 
Hapa nifikiriavyo ni wale vijana wa IT waliokamatwa walikuwa wamepewa assignment moja hatari sana, na ndo lilikuwa kimbilio la ukawa, sasa wamekuwa preempted, kila kitu kwa ukawa kimevurugika!
 
Ni vizuri kuambiana ukweli kwamba; kujenga inategemea unajenga nyumba ya aina gani, size gani, kwa material gani na kwa kutumia fundi wa kiwango gani cha utaalam. Si lele mama.

Huyo anayesema amejenga kwa mshahara wa laki 7 hajajibu swali la mleta mada, maana yeye analeta habari za kilimo na urithi wa mashamba ya wazazi. Hata hivyo hesabu zake hazi balance.

Utajenga nyumba (sio kibanda) kama tu, mshahara wako ni mkubwa (at least take home ya 5M) au mshahara mdogo (take home ya chini ya 3M) plus mkopo. Vinginevyo uwe mwizi au ujenge kwa miaka 20 uingie ukistaafu.

Una miaka mingapi mkuu naona umechanganya mada?Anyways chagua ukawa mshahara utakuwa 900000000000000000000000000000000000000000000000000000000000 bila kodi.
 
Ni vizuri kuambiana ukweli kwamba; kujenga inategemea unajenga nyumba ya aina gani, size gani, kwa material gani na kwa kutumia fundi wa kiwango gani cha utaalam. Si lele mama.

Huyo anayesema amejenga kwa mshahara wa laki 7 hajajibu swali la mleta mada, maana yeye analeta habari za kilimo na urithi wa mashamba ya wazazi. Hata hivyo hesabu zake hazi balance.

Utajenga nyumba (sio kibanda) kama tu, mshahara wako ni mkubwa (at least take home ya 5M) au mshahara mdogo (take home ya chini ya 3M) plus mkopo. Vinginevyo uwe mwizi au ujenge kwa miaka 20 uingie ukistaafu.

Hahahaha! Na bado.. Mbona mtanyooka tu!
 
kimevurugikaje na ukawa wamesema wana vituo vingi zaidi? ndio maana wanayo matokeo mengine ambayo ni tofauti na hayo waliyonayo NEC, hebu tuwasikilize kwanza au haki ya kusikilizwa haipo tena?? wategemee tume ambayo hawana imani nayo. Na wasiwasi na hichi kiwewe
 
hao raia wa kigeni walitaka kuhack system ya NEC EEEEEEEEEH?Mbowe mmekomeshwa mlitaka mshinde kiunjanja janja Mungu kawaumbua,kova shikiria hao ma hackers segerea na keko mpaka Rais apatikane ndo muwatoe
Mbowe atatumia muda wake mwingi kulalama kwa vile boli la kushindwa UKAWA liko mikononi mwake
Anajifanya ana akili nyingi lakini sasa amekwama.
Amekula hela ya Lowassa amewadanganya wenzake vyama vya upinzani anataka sasa kupotosha system ya kura ya NEC kwa kuhack matokeo.

Ndio faida ya CHADEMA kuongozwa na Form Four leaver, kujiaminisha kutajirika na kupata matokeo fake!

Mbowe lazima awe wa kwanza kuyakataa matokeo ya NEC he has no option, kabanwa mbavu sasa.
 
Kuna kusindwa kihalali hilo linakubalika!! si kwa kura hizi za tume zinazofiki 108.94%,
Numbers don't lie idadi ya wakiga kura inatofautiana na mchanganuo kwa kura 10,000?? Tume itoe maelezo
Mzee wasira analalamika mchezo mchafu jimboni kwake sielewi anamlalamikia nani mabox ya kura yanalala halmashauri - mkurugenzi wa halmashauri ni mteule wa ccm hatujui wanayafanya nini mabox..

Calculate vizuri zile kura pale utagundua itv ndio wamekokotoa vibaya percentage na sio tume lkn kwakuwa watoto wa kambo ni walalamikaji daima hawana muda wa kutafuta proof zaidi hutafuta weakness waweze kulalamika
 
Hii inaleta mwelekeo gani wadau wa uchaguzi?

Zanzibar electoral commission lockdown

On the semi-autonomous archipelago of Zanzibar, the announcement of the election was temporarily suspended after soldiers stormed the collation centre, eventually evicting journalists and observers.
The opposition Ukawa coalition on Zanzibar had already expressed concerns about the results announced so far.
Residents on the islands also voted for their own president and members of the Zanzibar parliament on Sunday.


At the scene: Sammy Awami, BBC Africa, Zanzibar
_86350215_29c202cf-5f78-49cc-9ebc-6d956150b2a1.jpg

About 70 armed soldiers invaded the compound of the electoral commission and locked journalists, local and international observers inside the main hall.
Officials also stopped announcing results.
The soldiers ordered all of us to stay where we were and when I tried to ask them why, they told me not to approach them or question them.
After more than three hours, they allowed us to leave the electoral commission premises and told us not to come back until further notice.
Electoral officials reconvened and decided to postpone any further announcements until Wednesday.

CUF, one of four parties which make up Ukawa, accused the Zanzibar electoral commission of only releasing results from constituencies where the CMM candidate won.
On Monday, Ukawa candidate Seif Sharif Hamad declared himself the winner of the Zanzibari presidential poll.
Correspondents say tension has been rising on the islands ahead of the final results.
Previous elections have turned violent on Zanzibar, which is made up of the islands of Unguja and Pemba and is a popular with tourists.

Link Tanzania election: Government ministers suffer shock defeat - BBC News
 
Mwenyekiti mwenza wa UKAWA mh Freeman Mbowe amesema hawatambui matokeo ya urais yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kwa madai ya kuhujumiwa.

Mbowe alikuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa ngome Kawe.

Aidha amelalamikia kukamatwa kwa vijana wa IT pamoja na raia wa kigeni ambao amesema hawahusiani na CHADEMA.

Mbowe ametumia muda mrefu kulalamikia kuvurugwa mfumo wao wa vijana wa IT.
Amesema hata CCM wamekuwa na vijana kama wa namna hiyo ambao wanakusanya matokeo na kuchakachua.
Kesho amesema watakutana kamati kuu ya CHADEMA, na pia viongozi wanaouda UKAWA.

============================
Clap!
How comes a form six failure akalead opposition! This is insanity na for sure huwezi expect any constructive idea toka kwa Mbowe akifanya conference yake!
Ni mlio tu wakati wakichinjwa sio kama wanaunguruma! Simple arithmetics just add number za kata na ubunge utaona nani anashindwa!
Katika mkutano wa hadharani chadema walitamba kuwa wanamwizi wa kura katika team yao, that means walijiandaa na wizi wa kura huku wakitaka fair game!
Maana yake sasa wamepigwa 2-0 katika demokrasia na katika wizi!
Tanzania mpya itaanza kesho, tukiwa na jina la raisi!
Katika hatua zote mlizodai mmekamata masanduku ya kura hakuna ushahidi wowote zaidi ya picha za kuchoma moto mali za watu, hamkuweza kudhibiti mabox ya kura wala hakuna picha za ushahidi apart from zile mlizokuwa mnaonea watu waliokuwa na dummies kwa ajili ya demos!
Uchaguzi haukuwa fair nakubaliana na CHADEMA 100% lakini vyama haikuwa fair zaidi! Sasa team zinakosa kuwa fair lkn zinataka refa awe fair!
Several times mmekaidi amri halali za tume, several times mmetoa matamshi tata na several times mmefanya attempt za kuiba kura na just juzi mlikuwa mtaanda vituo vyenu vya kuhesabia kura! Hakuna nchi ya wendawazimu ya namna hiyo! Serikali yapaswa kudeal na mtu kama Mbowe mwenyewe na hii ya kudeal na wanachama wao ni chini sana! Inabidi Uganda na Rwanda styles zitumike this time na hamna haja ya ze Hague, Hawa ze segerea iwahusu zaidi, uholanzi mbona watapeta tu, wakae segerea tu wakati tukiapisha raisi mpya!
 
Back
Top Bottom