Mbowe: Uchaguzi huu hatutaibiwa kura!

Mbowe: Uchaguzi huu hatutaibiwa kura!

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kimejipanga kuhakikisha katika uchaguzi Mkuu hawaibiwi kura.

Kauli hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe wakati akizindua mafunzo ya Kikosi cha Ulinzi na Usalama cha chama hicho (Red Brigade), kwa vijana 200 wa Kanda ya Kati pamoja na Kikosi maalum cha Karate.

“Katika uchaguzi huu hatutaki kulalamika tena kwamba tumeibiwa kura na tutahakikisha tutaomba kura kwa wananchi na tutazilinda,” alisema Mbowe.

Alisema endapo watakubali kuibiwa kura maana yake hawapo tayari kuongoza. Mbowe aliwataka vijana hao wa Brigade kutokukilinda

chama peke yake bali pia kiwe chachu ya ulinzi kwa jamii inayowazunguka kwenye maeneo yao.

Alibainisha kuwa Chadema kitaendelea kutoa mafunzo ya ulinzi kwa vijana nchi nzima. "Vijana hawa lazima wajenge moyo wa kujitolea, chama kilijengwa na watu wenye moyo huo ambao baadhi walipata madhara mbalimbali ikiwamo kupoteza maisha,” alisema Mbowe.

Alisema wajenge sifa ya kuwa wakombozi wa Taifa na malipo mengine siyo lazima walipwe hapa duniani bali watapata kwa Mungu
CHANZO: NIPASHE.

=======================================================================

Mbowe amekuwa akiwaaambia wafuasi wa CHADEMA kila uchaguzi ukaribiapo kuwa hakuna kura zitakazoibiwa, lakini uchaguzi unapopita tu, na CHADEMA kushindwa kwa kishindo, Wimbo wa kuibiwa kura unaanza tena.

Mbowe sasa uwahakikishie wafuasi wako kwa dhati kabisa kuwa mwaka huu hatutasikia ngonjera za kuibiwa kura baada ya uchaguzi.

unajua bila kuwa na utafiti hasa wa jamii katia wigo wa kisiasa ni kukosa busara.
Mbowe anazungumzia mantiki ya vijana kushiri kufichua na kuondoa ukakasi wowote wa ccm na washirika wake kama vyombo vya dola kuhujumu.
Redbrigade si jeshi linalotambilika kikatiba na kisheria ndo udhaifu huo vyombo vya dola kwa kutumiwa na ccm hufanya hujuma mbalimbali.
kimsingi Redbrigade hawawezi kuwa tume ya uchaguzi,hawawezi kuwa jeshi la polisi,hawawezi kuwa usalama wa taifa ambao husaidia ccm kuiba kura.
sasa basi unapomshangaa Mbowe na kumtaka athibitishe kutokuibiwa kura ,huku unafahamu kuwa vyombo vya eola na tume vinasaidia kuiba kura ,nikutukejeri watanzania ambao hutumia haki yetu lakni watu kama ninyi hutumika kuibw kura za wapiga kura bila aibu kwa kutumia mbinu hizi.
 
Hapo aliyewakejeli ni Mbowe, Kawahakikishia kuwa "wizi wa kura " hautakuwepo mwaka huu. wakati haukuwahi kuwepo, vile ni visingizio tu!
 
Kura zitaibwa,uchaguzi mtashindwa na kipigo mtakipata,hii ni Tanzania na na ccm itaongoza milele. Nyie wapuuzi mnao fata maneno ya mbowe mtapata matibabu huko huko magereza.
 
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kimejipanga kuhakikisha katika uchaguzi Mkuu hawaibiwi kura.

Kauli hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe wakati akizindua mafunzo ya Kikosi cha Ulinzi na Usalama cha chama hicho (Red Brigade), kwa vijana 200 wa Kanda ya Kati pamoja na Kikosi maalum cha Karate.

“Katika uchaguzi huu hatutaki kulalamika tena kwamba tumeibiwa kura na tutahakikisha tutaomba kura kwa wananchi na tutazilinda,” alisema Mbowe.

Alisema endapo watakubali kuibiwa kura maana yake hawapo tayari kuongoza. Mbowe aliwataka vijana hao wa Brigade kutokukilinda

chama peke yake bali pia kiwe chachu ya ulinzi kwa jamii inayowazunguka kwenye maeneo yao.

Alibainisha kuwa Chadema kitaendelea kutoa mafunzo ya ulinzi kwa vijana nchi nzima. "Vijana hawa lazima wajenge moyo wa kujitolea, chama kilijengwa na watu wenye moyo huo ambao baadhi walipata madhara mbalimbali ikiwamo kupoteza maisha,” alisema Mbowe.

Alisema wajenge sifa ya kuwa wakombozi wa Taifa na malipo mengine siyo lazima walipwe hapa duniani bali watapata kwa Mungu
CHANZO: NIPASHE.

=======================================================================

Mbowe amekuwa akiwaaambia wafuasi wa CHADEMA kila uchaguzi ukaribiapo kuwa hakuna kura zitakazoibiwa, lakini uchaguzi unapopita tu, na CHADEMA kushindwa kwa kishindo, Wimbo wa kuibiwa kura unaanza tena.

Mbowe sasa uwahakikishie wafuasi wako kwa dhati kabisa kuwa mwaka huu hatutasikia ngonjera za kuibiwa kura baada ya uchaguzi.

Kaka kilichobaki hapa tz kwa watu ambao tunategemea kazi yoyote ilimradi mkono ni kulinda ujira wetu!
Lazima tuwajibike kwa jukumu tuliopewa na chama
hata kama tunaiba Mbowe anaushahidi gani?
Mtalinda lakin tutajitangaza tu kuwa washindi najua kuna mikoa hamtalinda kabisa
 
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kimejipanga kuhakikisha katika uchaguzi Mkuu hawaibiwi kura.

Kauli hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe wakati akizindua mafunzo ya Kikosi cha Ulinzi na Usalama cha chama hicho (Red Brigade), kwa vijana 200 wa Kanda ya Kati pamoja na Kikosi maalum cha Karate.

“Katika uchaguzi huu hatutaki kulalamika tena kwamba tumeibiwa kura na tutahakikisha tutaomba kura kwa wananchi na tutazilinda,” alisema Mbowe.

Alisema endapo watakubali kuibiwa kura maana yake hawapo tayari kuongoza. Mbowe aliwataka vijana hao wa Brigade kutokukilinda

chama peke yake bali pia kiwe chachu ya ulinzi kwa jamii inayowazunguka kwenye maeneo yao.

Alibainisha kuwa Chadema kitaendelea kutoa mafunzo ya ulinzi kwa vijana nchi nzima. "Vijana hawa lazima wajenge moyo wa kujitolea, chama kilijengwa na watu wenye moyo huo ambao baadhi walipata madhara mbalimbali ikiwamo kupoteza maisha,” alisema Mbowe.

Alisema wajenge sifa ya kuwa wakombozi wa Taifa na malipo mengine siyo lazima walipwe hapa duniani bali watapata kwa Mungu
CHANZO: NIPASHE.

=======================================================================

Mbowe amekuwa akiwaaambia wafuasi wa CHADEMA kila uchaguzi ukaribiapo kuwa hakuna kura zitakazoibiwa, lakini uchaguzi unapopita tu, na CHADEMA kushindwa kwa kishindo, Wimbo wa kuibiwa kura unaanza tena.

Mbowe sasa uwahakikishie wafuasi wako kwa dhati kabisa kuwa mwaka huu hatutasikia ngonjera za kuibiwa kura baada ya uchaguzi.

Nimemuelewa Mbowe kuwa wanalalamika kwa kuzuga tu ila kura walilinda
 
Mkuu makamanda mwaka huu hawatoki, kila mara wanajidai wanaibiwa kura, lakini sasa wameshajifunga wenyewe kuwa kura hazitoibiwa tena, kwahiyo Single ya kuibiwa kura ndio imefia hapa, tunasubiri waje na kisingizio kingine cha kushindwa!

Bora Wewe umekaa kimya.
 
Anatafuta michango mingine huyoo,maana sisi ni malofa wake!safari hii katukosa walahi
 
Back
Top Bottom