Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,725
- 2,606
Nchi ndo imefika huku? Demokrasia inabakwa.
Hapa nyie ndio mnabakwa Na Mwenyekiti wenu lakini mmetulia Tu.
Nchi ndo imefika huku? Demokrasia inabakwa.
Nimekupa tuzo ya post of the dayMbowe aache upuuzi abadili aina ya siasa za upinzani hapa nchini.
Siasa za kiki hazitusaidii kama Taifa.
Akubali amepwaya, siasa za huruma na kusumbuana na Polisi zilishapitwa na wakati.
Watanzania tunahitahiji hoja za kitaifa sio kuzurura vijiweni ilimradi kuhalalisha matumizi ya ruzuku ya Chama.
Mkuu, vipi wakai Mbowe anahojiwa na ITV umemuona akiwa na Katibu Mkuu wa Kichina, Vicent Mashinji?
UNAJISI WA DEMOKRASIAAkihojiwa na ITV mwenyekiti wa chadema amesema kwamba sasa serikali inawazuia kutembelea matawi ya chama
****tunaelekea wapi
Jiite mwanza- Mami! Usituchafulie jina letu zuri la Tarime hatuna wajinga kama w..........eMatawi gani jumapili mwanza Kama sio kutafuta media coverage za bure. Mbona hukwenda kumtambulisha mashinji ulipomchagua kuwa Katibu mkuu hapo ungeonekana WA maana. Watu WA mwanza kuweni makini fujo za Arusha wanataka kuziamishia mwanza. Semeni hapana apeleke fujo zake Hai
Matawi gani jumapili mwanza Kama sio kutafuta media coverage za bure. Mbona hukwenda kumtambulisha mashinji ulipomchagua kuwa Katibu mkuu hapo ungeonekana WA maana. Watu WA mwanza kuweni makini fujo za Arusha wanataka kuziamishia mwanza. Semeni hapana apeleke fujo zake Hai
Hapa kazi tu. mlichezea sana masharubu ya Kikwete. Amekuja mkali. Na mtakoma
CHADEMA kifo hakiepukiki.Unaota mchana kweupe......Ccm imeishiwa pumzi za kuongoza nchi-kingunge
Kwani Masizi anaaminika kikweli mpaka apate mshiko? Sidhani, anaweza kuishia kusaini tu na akaambiwa, aendelee kujitolea kama vijana wengine kwani bado wanajenga chama.!Akirudi watakaa na masinz wanaandikiana cheque ya 40m kuwa wamefanya shughuli ya chama , ndo kazi ya right RUZUKU kwa sasa
Kilicho baki ni serikali, kuanza kuwauwa viongozi wa upinzani, na hii haipo mbali sana. lazima wapinzani waelewe, kifo kipo mbele yao. Hii ni serikali ya kidikteta.Akihojiwa na ITV mwenyekiti wa chadema amesema kwamba sasa serikali inawazuia kutembelea matawi ya chama
****tunaelekea wapi
Mkuu neno lililokuwa censored apo ni lipi. Nitashangaa sana likiwa ni CDMAkihojiwa na ITV mwenyekiti wa chadema amesema kwamba sasa serikali inawazuia kutembelea matawi ya chama
****tunaelekea wapi
Why now?????Siku zote alikuwa wapi???Hii ni janja tu wameamua kutumia kufanya mikusanyiko yao ya kisiasa na kufikisha walichokua wanataka kufikisha Mwanzo kwa wananchi......Akihojiwa na ITV mwenyekiti wa chadema amesema kwamba sasa serikali inawazuia kutembelea matawi ya chama
****tunaelekea wapi
Tatizo lako ni ujinga....Mbowe aache upuuzi abadili aina ya siasa za upinzani hapa nchini.
Siasa za kiki hazitusaidii kama Taifa.
Akubali amepwaya, siasa za huruma na kusumbuana na Polisi zilishapitwa na wakati.
Watanzania tunahitahiji hoja za kitaifa sio kuzurura vijiweni ilimradi kuhalalisha matumizi ya ruzuku ya Chama.