Mbowe: Tunazuiwa kutembelea matawi ya CHADEMA

Mbowe aache upuuzi abadili aina ya siasa za upinzani hapa nchini.

Siasa za kiki hazitusaidii kama Taifa.
Akubali amepwaya, siasa za huruma na kusumbuana na Polisi zilishapitwa na wakati.

Watanzania tunahitahiji hoja za kitaifa sio kuzurura vijiweni ilimradi kuhalalisha matumizi ya ruzuku ya Chama.
 
Vijana wanaiga kuwa ili uwe mwanasiasa basi ufanye vituko vya kukamatwa na polisi
 
Mkuu, vipi wakai Mbowe anahojiwa na ITV umemuona akiwa na Katibu Mkuu wa Kichina, Vicent Mashinji?
 
Mbona Ccm wanafungua kando ya barabara ,,wanajengea matofali matano,wanapiga lipu,wanaweka nguzo na bendera wanaweka na maneno........tawi la Ccm katerero limefunguliwa na mh mpigamiti "
Ulishamuona Mwenyekiti akitembelea hivyo vijiwe?
 
Mkuu, vipi wakai Mbowe anahojiwa na ITV umemuona akiwa na Katibu Mkuu wa Kichina, Vicent Mashinji?
Hahahaa....hivi mzee mkama yule katibu bado anafuga sharubu?zilikuwa zinasaidia kunasa senene kipindi akija bukoba
 
CHADEMA inaelekea kufa. Sisi tunaoona mbali tumeshaona.
 
Mbowe aache upuuzi abadili aina ya siasa za upinzani hapa nchini.

Siasa za kiki hazitusaidii kama Taifa.
Akubali amepwaya, siasa za huruma na kusumbuana na Polisi zilishapitwa na wakati.

Watanzania tunahitahiji hoja za kitaifa sio kuzurura vijiweni ilimradi kuhalalisha matumizi ya ruzuku ya Chama.
kazi ya ruzuku ni ipi?
 
Back
Top Bottom