Na wewe je?CHADEMA kifo hakiepukiki.
Mimi nitakufa baada yako na chadema.Na wewe je?
Katibu wa kichina
Kweli aise.Huu mchezo hauitaji hasira?
Kachukue buku 7 huko lumumbaHuu mchezo hauitaji hasira?
utawala huu mwisho wake viongozi wake wanajificha kwenye mitalo huku wakichomekwa majiti makalioni kama dunia ilivyoshuhudia mara nyingi kwa watu wanamna ya utawala huu ambao wanapachikana kimakabila na kupiga mapambioHapa kazi tu. mlichezea sana masharubu ya Kikwete. Amekuja mkali. Na mtakoma
huna adabu baada ya mwana wa kikwete kukupakata ukapata ujiko sasa una mnanga hamfiki mballi wewe ndio utaisha maisha yako yote na yule anayechapia kizungu ndio atazimika kabisa maana hawezi kuongoza nchi imemshinda serikali ikikamatwa nitagawa bure mpaka leo kagawa mikono yakeHapa kazi tu. mlichezea sana masharubu ya Kikwete. Amekuja mkali. Na mtakoma
Nasikitika chama kimekuwa ni chakudekadeka sasa..zamani hakikuwa hivi..Akihojiwa na ITV mwenyekiti wa chadema amesema kwamba sasa serikali inawazuia kutembelea matawi ya chama
****tunaelekea wapi
Mbona nyinyi ccm mnatembelea na jana kahama mlikuwa na mkutanokatika historia ndio mara ya kwanza kutembelea matawi leo? looking for a kick plate...not seen
ZaKwani hiyo Demokrasia lazima ifanyikie Mwanza tu? Aende na Hai au Moshi mjini tutamsikia pia.